Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Umeongopa mkuu, ishu ya jiwe alijiita yeye mwenyewe akisema yeye hababaishwi, sasa sina uhakika kama umepotosha makusudi au ni kwasababu wewe ni matanga basi umatanga wako unautumia kama justification ya kuwa mjinga, amka mkuu wewe uko timamu.
 
George W. Bush Sn. alimzaa George Bush Jr. na wakapishana kwa Bwana Clinton hapo kati yao. Bill Clinton alikuwa rais na mkewe akagombea urais tena akipewa nafasi kubwa ya kushinda kama anavyogombea huyu Mwinyi. Demokrasia haibagui wala kutenga watu.
 
Lipo wazi Hilo, familia maalumu tu ndo zenye haki ya kutoa maraisi.
 
Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu.

  • Abeid Amani Karume-rais wa kwanza Zanzibar
  • Aman Abeid Karume- rais mstaafu Zanzibar
  • Ali Hassan Mwinyi -rais mstaafu Zanzibar na Tanzania
  • Hussein Mwinyi -mgombea urais 2020
  • Ali Karume -mgombea urais 2020

Hii yote ni himaya ya ccm ndugu watanzania tuwe macho na machifu hawa tuwakatae.
 
Muulizeni alilishughulikia vip suala la vijana wa jkt walioshiriki kwenye miradi mbali mbali ya ujenzi wa ukuta mererani ,nyumba 41 ,ikulu na ukonga waliofukuzwa kama mbwa kwenye kambi ya awali ya mafunzo ya kijeshi msata ili hali walipewa zawadi ya ajira na mh mpendwa wetu Dr john pombe Joseph magufuli
 
Pdidy bhana.
Hao ambaoo hawajakibadilisha hicho kisiwa mpaka leo ni wa kutoka chama gani? 🤣 🤣 🤣
 
Hussein Ali Mwinyi anafaa kuwa raisi wa Zanzibar kwa sababu ni mtu makini. Kama ameweza kuwa waziri wa Ulinzi na hakukuwa na rabsha kuhusu uwongozi wake basi anafaa next level.
 
Mbona Kenya mtoto wa Rais wa kwanza anatawala ?
 

Samahani Mkuu, hivi Mh. Mwinyi alishahudhuri mafunzo ya JKT ambayo hakuhudhuri alipopata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi?

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…