Wasifu/Historia fupi ya Samia Suluhu Hassani. Aliishia kidato cha nne, Mwaka 2000 hakujua kufunga Ushungi, ni mwanaraktati

Kasema kidato cha nne hakufanya vizuri; sijui ni kwa kiwango kipi!
Maana yake hapo kwa Kiingereza tunasema alikuwa ni form four failure! πŸ€”

Kazi kweli kweli.
 
Hilo nalo akalitazame
 
Nilitaka kukutukana ila kwa vile nipo na mtoto mdogo hapa .nimefuta we mtoa uzi
 
Si wengine hatuamini Mungu mazee. Hivyo inabidi ajipange upya kututuliza.
 

Friday, June 11, 2021​

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amuandalia Dhifa ya Kitaifa Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam​



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

 
Rais Samia Suluhu anatu inspire sana mabinti wengi africa hongera sana mama
 
Ulitaka kutuambia kuwa hajui kufunga ushungi
 
Katiba ipi mkuu! mbona mimi nimesoma katiba nzima sijaona kipengele kama hicho, msiwe mnakurupuka kuchangia vitu ambavyo hamuelewi mtu ukiulizwa hata katiba ya Tanzania ina sura ngapi hujui, alafu unakuja kuwadanganya Watanzania, hebu msiichukulie katiba yetu dhaifu kiasi hicho, katiba ya Tanzania imekamilika tatizo wapinzani hamjachukua madaraka ndio maana mnaona madhaifu tu[emoji3578]
 
Samia Suluhu Hassan is a great president,leader and thinker,she has managed to transform a sometime disorganised country which was heading to a dictatorship territory into a beautiful nation that everyone is proud off(including you).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…