Wasifu/Historia fupi ya Samia Suluhu Hassani. Aliishia kidato cha nne, Mwaka 2000 hakujua kufunga Ushungi, ni mwanaraktati

Sawa

Mungu kamwinua,autumikie wito wake tu alioitiwa,asije akatumikia wito MPYA wa kupambania urais ujao!

KWA maana aridhike na alichopewa na Mungu,atakapopambanaia wito MPYA atakaribisha vita vipya! KWANINI kujichosha ewe mwana wa Suluhu!!!?

Wanaokuimbia mapambio ndio wanaotaka kukufelisha Ili upigane vita vipya ambavyo hukuvipanga kupigana!

Wewe pigania jukumu lako ulilolipokea MUNGU alilokupa usijipe lingine huna cha kupoteza!

Achana nao wanavopambana kwaajili ya huo!!

Wewe maliza kazi kaa pembeni waachie wao waamue kijiti Nani atachukua Baada YAKO!

"Mwambieni asome hii,itamsaidia!!!
Hilo nalo akalitazame
 
Nilitaka kukutukana ila kwa vile nipo na mtoto mdogo hapa .nimefuta we mtoa uzi
 
Salaam Wakuu.

Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani

Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.

Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma mazingira yaliyomzunguka. Alipoteuliwa kuwa makamu wa Rais alilia sa na(pata picha na yale macho yake).

Alikuwa hajui kufunga Ushungi hadi alipofundishwa wakati anagombea, alikuwa anaachia nywele hadi wanamuita Lizungu, alikuwa anavaa Suruali sana zaidi ya Sister P.

Samia ukimtukana anakaa kimya hadi mnanisangaa mnaomtukana. Anefanya kazi saa kwenye NGOs hadi alikuwa anasafiri kwa basi Dar hadi Afrika Kusini.

Anasema kufika alipo ni mkono wa Mungu, hata kama humheshimu Samia, basi Mheshimu Mungu aliymfikisha alipo.

Msikilize hapa.
View attachment 2437182
Si wengine hatuamini Mungu mazee. Hivyo inabidi ajipange upya kututuliza.
 
Friday, June 11, 2021​

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amuandalia Dhifa ya Kitaifa Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam​

1670332937419.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Salaam Wakuu.

Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani

Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.

Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma mazingira yaliyomzunguka. Alipoteuliwa kuwa makamu wa Rais alilia sa na(pata picha na yale macho yake).

Alikuwa hajui kufunga Ushungi hadi alipofundishwa wakati anagombea, alikuwa anaachia nywele hadi wanamuita Lizungu, alikuwa anavaa Suruali sana zaidi ya Sister P.

Samia ukimtukana anakaa kimya hadi mnanisangaa mnaomtukana. Anefanya kazi saa kwenye NGOs hadi alikuwa anasafiri kwa basi Dar hadi Afrika Kusini.

Anasema kufika alipo ni mkono wa Mungu, hata kama humheshimu Samia, basi Mheshimu Mungu aliymfikisha alipo.

Msikilize hapa.
View attachment 2437182
Rais Samia Suluhu anatu inspire sana mabinti wengi africa hongera sana mama
 
Ulitaka kutuambia kuwa hajui kufunga ushungi
 
Kama nakumbuka vizuri, kuna kipengee cha Katiba kinachosema Rais atakuwa na elimu ya Shahada ya Chuo Kikuu. Sijui kama hili ni kwa wale wanaogombea tu na si kwa anayerithi Urais kama Rais wa sasa alivyo. Hii ni kasoro ya Katiba kwa kuwa tumepata Rais asiyekidhi matakwa ya Katiba.
Katiba ipi mkuu! mbona mimi nimesoma katiba nzima sijaona kipengele kama hicho, msiwe mnakurupuka kuchangia vitu ambavyo hamuelewi mtu ukiulizwa hata katiba ya Tanzania ina sura ngapi hujui, alafu unakuja kuwadanganya Watanzania, hebu msiichukulie katiba yetu dhaifu kiasi hicho, katiba ya Tanzania imekamilika tatizo wapinzani hamjachukua madaraka ndio maana mnaona madhaifu tu[emoji3578]
 
Samia Suluhu Hassan is a great president,leader and thinker,she has managed to transform a sometime disorganised country which was heading to a dictatorship territory into a beautiful nation that everyone is proud off(including you).
 
Back
Top Bottom