Wasifu Mzito wa Profesa Mohammedi Janabi uliomkosha Rais Samia wenye ubobevu na ubingwa hususan katika Magonjwa ya Moyo

Hiyo ni CV ya kawaida tu.sema ti Samia amekoshwa na hiyo CV Kwa sababu yeye amezoea za kupewa burebure na hajawahi kufuatilia CV za watu wengine kama waziri wa afya afrika kusini au rwanda.professor Gani hajawahi kuvumbua hata chanjo yeyote
 
Mama akoshwe vyote na huyo mwamba lakini kamwe asije akaingia mkenge kutaka jamaa awe Daktari wake wa moyo, atajuta. Mwamba katika level ya kibingwa hana hiyo taaluma.

kivipi hana ?? sisi tuliyesoma naye huko majuu tunamjua ni mtu aliyetulia na hana fujo na mtu
 
Hiyo ni CV ya kawaida tu.sema ti Samia amekoshwa na hiyo CV Kwa sababu yeye amezoea za kupewa burebure na hajawahi kufuatilia CV za watu wengine kama waziri wa afya afrika kusini au rwanda.professor Gani hajawahi kuvumbua hata chanjo yeyote

Sasa ulitaka avumbue ile juisi ya Madagascar aliyekwenda kuileta Professor Pala magamba ya Samaki ??
 
HASWAAA MAMA ANATOSHA MITANO TENA
 
Hiyo ni CV ya kawaida tu.sema ti Samia amekoshwa na hiyo CV Kwa sababu yeye amezoea za kupewa burebure na hajawahi kufuatilia CV za watu wengine kama waziri wa afya afrika kusini au rwanda.professor Gani hajawahi kuvumbua hata chanjo yeyote
Acha ujinga wako hapa wewe .kwani wangapi wamevumbua chanjo.
 
kivipi hana ?? sisi tuliyesoma naye huko majuu tunamjua ni mtu aliyetulia na hana fujo na mtu
Ni kweli ametulia na hana fujo na mtu, lakini suala la kutibu moyo wa mama yetu kipenzi, HAPANA. Hajui, hawezi na hapaswi.
 
Ni kweli ametulia na hana fujo na mtu, lakini suala la kutibu moyo wa mama yetu kipenzi, HAPANA. Hajui, hawezi na hapaswi.
Mama ataendelea kulindwa na Mwenyezi Mungu na ataendelea kuwa salama na Mwenye afya njema mpaka atakapomaliza muhula wake wa uongozi hapo 2030
 
Aisome Zanzibar-ASP
 
Unavyomsifia mpaka mke wake anacheka 😄

Ova
 
Watanzania siyo wajinga wanajua kwanini anapewa promo kwasasa. Kuna kazi alitumwa na aliifanya. Time will tell. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mkuu hiyo ndiyo CV ya Dr Janabi Kwa mujibu wa MCT

PhD hakusoma cardiologist bali Bioregulatory Medical Science chuo kikuu cha Osaka 2001

Dr. Mohamed Yakub Janabi
RegNo: MCTOL39713
Qualification(s)
MD(1989) - Khakor Medical Institute-ukraine Ussr
MSc.(Tropical Health)(1993) - University Of Queensland
PhD(Bioregulatory Medical Science)(2001) - Osaka University

Registration status: specialist

Copyright@ 2024. All rights are reserved by Medical Council of Tanganyika

WHAT IS BIOREGULATORY MEDICAL SCIENCE

Bioregulatory medical science is a holistic approach to medicine that uses therapeutics to regulate biological processes in the body to promote disease prevention and healing:
What it is:

Bioregulatory medicine is a nontoxic, advanced approach to medicine that uses natural medicine and modern technology to treat illness and promote healing. It focuses on the body's ability to heal itself and uses noninvasive diagnostics and treatments.

How it works:
Bioregulatory medicine addresses the four pillars of health: diet, drainage and detox, oral health, and mind-body medicine. It aims to identify the cause of disease and promote early intervention.

Why it's important:
Bioregulatory medicine is an alternative to the conventional model of treating symptoms with pharmaceutical drugs. It's a way to work with the body, not against it, and to better care for ourselves and each other.
 
Hiyo CV wanadai muishushe kidogo ianzie Form four na form six alisoma wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…