Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

Kwa sasa achague moja kucheza na wajukuu au ajiajiri kama wanavyokuwa wanasisitiza wakiwa ktk majukwa ya siasa
 
Sasa Wasira apumuzike jamani! Yaani tangu nazaliwa jamaa yuko kwenye utumishi mpaka sasa nazeeka jamaa bado analilia ubunge tu? Hizi mahakama nazo ziwe fair, mtu kama huyu unamgeuzia kibao unamweka ndani japo miezi 24 kasoro ili liwe fundisho kwa wenye tamaa!!
 
Huyu mzee ana uchu sana wa madaraka na siku akishika hatamu kwa umri alionao atageuka MUGABE au NKURUNZINZAH[emoji33] [emoji124]
 
Kuna Siku Enzi za Mzee John Cheyo Bungeni aliulizwa kwa nini Watu wanalazimishwa kuchangia Maabara wakati ilisemwa ni hiyari basi Wassira Kama kawaida yake akasema 'Hiyari ni kwny kuamua kuchanga kwa hiyari lakin kutekeleza ahadi yako ya hiyari si hiyari' [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaaaaa!! Mi nilimpenda siku walipokutana na Lissu nafikiri ITV!! Siku hiyo ndiyo nilijua kwa nini wanamwita tyson! Yaani kama si yule msimamizi wa kipindi basi Lissu angetoka hapo akiwa kibogoyo! Ila katika Mwana ccm niliyekuwa nikimheshimu kwa kujenga Hoja wassira hana Mwenzake!! Nb-historia yake inahitaji updation! Maana leo Kabwagwa tena mahakamani na Ester Bulaya!! Ongezeni kwenye hiyo Historia yake iliyoishia April 2015
 
Jk, ndio alikua akimtaniaga kwa jina hilo la tayson
 
Huyu mzee bado yupo sana
1737223016121.png

Yupo sana tu...hapo ni bungeni zama hizo!​
 
🎵🎶🎵🎶 it's jay once again🎶🎵🤣😂😅
 
Kama kawekeza kwenye chama tangu 1967 basi mzee yupo hapo mpaka mwisho wake
Vijana changamkieni sasa fursa ili mwaka 2083 muwe kama yeye kwa cheo hicho 😄
 
Back
Top Bottom