milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Huyu mzee atakuwa na miaka mingi alidanganya umri
Mwandishi amesahau kueleza jinsi mzee Wasira alivyowapiga wenzie Nccr mageuzi mpaka akaitwa Tyson .Tyson a.k.a Bonobo ngumi mkononi
Ni zaidi ya hapo, 1970 aliteuliwa kuwa RC akiwa na miaka 31 mpaka na hapo kafoji anaziaidi ya miaka 98Kama alizaliwa 1945 atakuwa na miaka 80.
Aksante Mkuu pengine bunda Kijiji gani?Bunda
Sio Serengeti!?Bunda
Aksante Mkuu pengine bunda Kijiji gani?
orya mpaka na Kiabakari?Rorya mpakani karibu na Kiabakari
Sawa Mkuu pengine atoka jamii gani hasa?Kijiji sijui mkuu lakini kuna uwezekano ikawa ni kijiji cha Bariri ambapo ndio inaonesha alianza shule ya msingi...
Sawa Mkuu pengine atoka jamii gani hasa?