Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mh rais ndugu Bernard Kamilius Membe...Your mom will answer this correctly. MEMBER LABDA AWE RAIS WA FAMILIA YAKO.SI YA WATANZANIA.
Ina sound vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh rais ndugu Bernard Kamilius Membe...Your mom will answer this correctly. MEMBER LABDA AWE RAIS WA FAMILIA YAKO.SI YA WATANZANIA.
[emoji23] sitokuja kupenda tena alisikika mzazi mmoja wa swalehe akisema.Mimi nimeoa na miaka 52
sasa wewe si utakufa ata leo tu.Membe ni JANGA HATOKUWA RAIS WA NCHI HII LABDA NIFE.
Jiwe ana karama unataka kuwadanganya watanzania sio?Kuna Ma professor wamepewa kusimamia Taasisi mbalimabili lakini performance yao iko below expectations za watu walioko chini yao.
Ninachotaka kusema CV haisaidii kuongoza nchi bali uongozi ni karama kutoka kwa mwenyezi Mungu.
Kuna Ma professor wamepewa kusimamia Taasisi mbalimabili lakini performance yao iko below expectations za watu walioko chini yao.
Ninachotaka kusema CV haisaidii kuongoza nchi bali uongozi ni karama kutoka kwa mwenyezi Mungu.
Hahaha usiwe serious na comment zangu mzee[emoji23] sitokuja kupenda tena alisikika mzazi mmoja wa swalehe akisema.
Kwahiyo unapingana na mzee mstaafu aliyesema kuwa miaka 3 ya jpm wao awamu 3 hawakufika yaani takribani 27 tulikuwa hatuendi?Usifikiri kila asiyemkubali JPM humu ndani ni CHADEMA.
Kuendelea na JPM madarakani ni kuirudisha nchi miaka 70 nyuma kidemokrasia, tumeshatoka huko twende na mtu anayeamini katika demokrasia ya kweli na maendeleo ya watu na vitu, Siyo mtu anayeamini katika maendeleo ya vitu pekee.
Membe hataonea wapinzani kwa sababu amepikwa kiuongozi, anaijua nchi nje ndani na amekuwa groomed kuwa kiongozi, siyo sawa na watu waliookota uongozi kama zali la mentali!, hii ya kuokotaokota viongozi ndiyo maana kuna mambo ya kutekanatekana nchini kwa sasa. Hali inatisha sana!
Kakake JK alishindwa kumpitisha.....Mungu hakuwa upande wake Membe ........ Ongeza juhudi za kumpigia debe....Usifikiri kila asiyemkubali JPM humu ndani ni CHADEMA.
Kuendelea na JPM madarakani ni kuirudisha nchi miaka 70 nyuma kidemokrasia, tumeshatoka huko twende na mtu anayeamini katika demokrasia ya kweli na maendeleo ya watu na vitu, Siyo mtu anayeamini katika maendeleo ya vitu pekee.
Membe hataonea wapinzani kwa sababu amepikwa kiuongozi, anaijua nchi nje ndani na amekuwa groomed kuwa kiongozi, siyo sawa na watu waliookota uongozi kama zali la mentali!, hii ya kuokotaokota viongozi ndiyo maana kuna mambo ya kutekanatekana nchini kwa sasa. Hali inatisha sana!
Sidhan kama anatafuta. Kwa level yake ya maisha aliyofikia. Sidhan kama ana mpango huoHahaha anatafuta kazi, au mimi ndio sielewi?!
Naye kashindwa kujiajiri kama mimi?! Kumbe kuajiriwa raha?!
Hahaha sasa hiyo ni biography au CV yake yanini humu, au siasa zimekolea?Sidhan kama anatafuta. Kwa level yake ya maisha aliyofikia. Sidhan kama ana mpango huo
kuna shaka yoyote kuoa ktk umri huo?Manaake alioa akiwa na umri wa miaka 33