Wasifu wa Charlie Kirk ambaye amefariki kwa kupigwa risasi huko nchini Marekani

Wasifu wa Charlie Kirk ambaye amefariki kwa kupigwa risasi huko nchini Marekani

Apumzike kwa amani,

Mambo ya kumiliki silaha kiulaini waliangalie sana,mtu ana stress zake au kakuchukia tu anakaa juu ya bati anakusubiri akumalize
Mtu ana msongo wa mawazo anaenda na bastola shuleni anaua wanafunzi wenzake na walimu
Kumiliki silaha sio kbs
 
Hii video inaonyesha kila angle ya jinsi jamaa alivyouliwa kmmmk🔥🔥🔥
 
Safi sana kuuliwa
Huyu kichwa pumbu alikuwa anatumia huo ujinga wake kupata umaarufu, sasa akafanye mijadala na funza huko shimoni....
 

Charlie Kirk ni nani?​

  • Charlie Kirk (alizaliwa tarehe 14 Oktoba 1993 – alifariki tarehe 10 Septemba 2025) alikuwa mwanaharakati wa kisiasa kutoka Marekani, mwandishi, na mtangazaji wa vyombo vya habari vya kihafidhina (conservative).
  • Alianzisha shirika la Turning Point USA mwaka 2012, linalolenga kueneza mawazo ya kihafidhina kwa vijana, hasa kwenye vyuo vikuu.
  • Pia alihusishwa na mashirika mengine ya kihafidhina kama Turning Point Action na vipindi vya redio/podcast kama The Charlie Kirk Show.

Mitazamo na Shughuli Zake​

  • Alijulikana kwa kutoa hotuba na mijadala kwenye vyuo vikuu kuhusu masuala ya uhuru wa kujieleza, soko huria, upinzani dhidi ya kile alichokiita “agenda za mrengo wa kushoto” au “woke culture.”
  • Aliandika vitabu kadhaa akielezea maoni yake dhidi ya vyuo vikuu na utamaduni wa kisasa wa Marekani.
  • Alikuwa mmoja wa sura maarufu katika harakati za kisiasa za mrengo wa kulia (Republican/MAGA) nchini Marekani.

Kifo Chake​

  • Mnamo tarehe 10 Septemba 2025, Charlie Kirk aliuawa kwa kupigwa risasi wakati akizungumza katika chuo kikuu cha Utah Valley University huko Orem, Utah.
  • Tukio hilo lilikuwa sehemu ya ziara yake iliyoitwa “American Comeback Tour.”
  • Mshukiwa mmoja alikamatwa, na uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.
Hovyooo...

Embu sema alisemaje juu ya mamia ya watoto ..kina mama na vijana wanao uliwa Gaza..!?
 
Sema alisemaje juu ya umiliki na vifo vinavyosababishwa na Guns..
 
Apumzike kwa amani,

Mambo ya kumiliki silaha kiulaini waliangalie sana,mtu ana stress zake au kakuchukia tu anakaa juu ya bati anakusubiri akumalize
Mtu ana msongo wa mawazo anaenda na bastola shuleni anaua wanafunzi wenzake na walimu
Kwa ilivyokaa huyu kagongwa na mtu wa kazi kabisa sio poa
 
Hovyooo...

Embu sema alisemaje juu ya mamia ya watoto ..kina mama na vijana wanao uliwa Gaza..!?
Ndo apigwe risasi gaza waliyataka wenyewe hamas walianza uvamizi kwenye sherehe na kuua watu wasiokuwa na hatia iweje wao waonekane wanaonewa ilihali wameyataka wenyewe lkn pia kwanini wasihame kama wakimbizi kwenda nchi jirani yenye amani
 
Hawa hawa ndio waliomuua maana alianza kuwatukana pia, waisrael sio watu watu wa sport sport, huko France tayari serikali ya waziri mkuu imevunjwa shauri ya kujifanya kimbele mbele kutambua taifa la Palestine. Nimeona live alivyopigwa shaba, kifo cha mtu ni huzuni lakini A rest in hell, amewatukana sana pia niggaz.
Suspect ni mzungu mwenzake huyu hapa.,..wenzetu wanajua kucheza na technology ingekuwa huku bongo tungekamatwa watu wote
IMG-20250911-WA0045.jpg
 
Jamaa alikuwa mpumbavu sana, bora hata alivyouwawa kenge huyo.

👉 "Mshahara wa dhambi ni mauti"
Mkubwa! Kwanza unatakiwa ujue kama jamaa ni baba na ni mume pia, kaacha mke na watoto wawili.

Pia inatakiwa ujue kwamba kutofautiana kwa mitazamo kusijenge chuki wala uhasama mpaka kushabikia mtu kuuwawa kinyama.

Lastly hizi Debate zinahitaji hoja na facts, ukishindwa kubali na sio kuua mtu.
 
Suala la bunduki labda wakubaliane kumwagana damu kwanza, wale jamaa silaha wanazomiliki uje wambie hakuna silaha utakua mtiti sana.

Kuna wengine wanadema serikali ikizuia silaha wananchi watajizuia vipi wakiletewa udikteta
Mbona sasa hivi hawajizuii na udikteta wa Trump??
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom