Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

Christian Democratic Union (CDU) ni chama dada na rafiki wa chama cha CHADEMA kwa hiyo sioni jipya hapo ni sawa tu na CHADEMA wamesema
Kama vipi na sisi umoja wa wabunge ccm tumjadili.....Mazuzu
 
Kama kesi ilivyofunguliaa kwa mashinikizo ya Jiwe na Hangaya Pro inaweza kufutwa hivyo hivyo. Shida iko wapi?
maza atusikilize, kwa masilahi mapana na heshima ya taifa letu -hii kesi ifutwe!!

Dunia inatudharau sana kama kwa karne hii priority yetu inakuwa ni kubambikiziana kesi za kisiasa wakati wengine wanachanja mbuga kimaendeleo.
 
Tuko huku tunaona wapinzani wanavyobambikwa kesi,mikutano yao inavyopigwa marufuku na kukamatwa huku maCCMyakifanya mikutano na kulindwa. Halafu wapuuzi mnakuja na propaganda za hovyo!!

Wajerumani ndio waliwaua Mawazo,Saanane,Kanguye,Azory na pia lummiminia marisasiLissu?!!
Hawa Maccm ni wa ajabu sana. Hivi ukifuatilia kesi ya Mbowe kuna kesi pale? Haya ni matumizi mabovu ya rasilimali zetu.
Hivi viongozi wa Ccm wana jisikiaje kujadiliwa hasi na mataifa ya nje?? Wakitaka salama na kuosha jina la Tanzania, kesi ya Mbowe ifutwe bila masharti. Kusema ni kuingilia mahakama huo ni upumbavu, rais ana njia nyingi za kutumia kuona hii kesi ina fika kikomo.
Pia kuna ulazima wa kimfuta Siro kazi.
 
Lakini si ana hoja ya msingi? Mngejibu hoja zake badala ya kuishia kumchunguza yeye kama mtoa hoja.
Na ndiyo upumbavu wa CCM wakishindwa kujibu hoja wanamshambulia mtoa hoja. Walishindwa kumjibu Lissu wakaamua kumpiga risasi
 
Waliko kwenye sufuria hili:



Wana hangaika sana wakisikia Mbowe kuachiliwa au kusikia neno demokrasia, uhuru, usawa au haki yakitamkwa.

Hawako peke yao ila wako pia na maswahiba akina Kingai, Mahita Goodluck, Jumanne, Msemwa, na wenzao ambao hatukuwajua kabla.

McAllister ni binadamu mno! Hawezi hata kujaribu kulinganishwa na wazalendo tunaotaka kuaminishwa wenye uhusika wao mkuu kwenye haya:

IMG_20211202_092804_863.jpg


IMG_20211119_091739_123.jpg
 
Demokrasia siyo KAKAKOLA atuache huyo beberu,tupo ngorongoro kimkakati na ACT wazalendo.
 
Mbona wakisema tupe mkopo au msaada hamsemi wanaingilia mambo ya ndani ya nchi? jinga kabisa
 
Nimefuatilia hotuba ile nikagundua ina sarufi nyingi za kinyaturu . Proved beyond any shadow of doubt ni mwanadiko wa tindu lisu neno kwa neno ni mzungu wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom