Elections 2010 Wasifu wa Dr. Slaa: Download, SAMBAZA!

Elections 2010 Wasifu wa Dr. Slaa: Download, SAMBAZA!

Status
Not open for further replies.
Ni kwasababu ni Mtaalamu wa kanuni za kanisa! sidhani kama tunashida ya mambo kanuni za kanisa Tanzania shida yetu ni uchumi...sasa mtaalamu wa kanisa atakusaidia nini zaidi ya kuandika upupu.

Aiseeee!
 
tuache kudanganyana Dr slaa hana masters na wala huwezi kulinganisha certificate ca theology na masters , nazani hata wewe hujui tofauti ya masters na certificate, nani alikwambia certificate kuna research?
huyu hana sifa ya kuwa Dr labda kwa mambo yao ya dini.
 
tuache kudanganyana Dr slaa hana masters na wala huwezi kulinganisha certificate ca theology na masters , nazani hata wewe hujui tofauti ya masters na certificate, nani alikwambia certificate kuna research?
huyu hana sifa ya kuwa Dr labda kwa mambo yao ya dini.

Sio kudanganya mkubwa ndio wataalamu walioweka vyeo vya kielimu waliamua hivyo. Usidahni Theolojia ni mchezo.

Unaweza kusema kwa nini Matabibu wa afya ya binadamu wakimaliza degree wanaitwa ma Dr?
 
Ignorantium et infirmorum!

Yaani baadhi ya watu wanaonyesha ujinga ulio kuhubu. Mimi nimesoma katika mfumo wa dr.baada ya form 6 kuna miaka mitatu ya degree ya 1.hapa tanzania ni kibosho,ntungamo,peramiho,na morogoro(salvatorian) zinatoa shahada ya philosnphy.sasa ukiondoa salvatorian ambayo ni international,maaskofu walizuia kuaward degree ila certificate tu kuzuia watu kukimbia ufrateri baada ya kupata degree,lakini masomo,mitihani nk ni ya chuo kikuu na hata zaidi.hizo za falsafa zinaitwa major seminaries.

Wanaofaulu huenda kipalapala,segerea,peramiho,morogoro,ambazo huitwa senior seminary.huko husoma miaka 4 kupata degree inaitwa baccaraurate in theology.kwa sasa senior seminary zote tz zinatoa shahada.baada ya hapo kawaida mtu anakuwa padre,kisha anaweza kupelekwa kusomea masters degree na hatimaye phd.

Hakuna kuflash kama inavyoneshwa.sasa wakati dr.slaa wanasoma falsafa ilikuwa 2yrs,na theology 3yrs,ila baadaye iliongezwa.

Kuhusu degree za st. Anayeuliza arejee kwanza shule za st.hapa nchini ajue kuwa elimu ya huko ni bora mno. Na vyuo vya st.augustine na tumaini,vinatoa ushindani mkali kwa udsm ambacho kwa sasa ni relics,na ajifunze mgogoro kati ya vyuo vya kanisa na serikali italia ulitatuliwaje,ili ajue hadhi ya dr.slaa.

Kuhusu kusoma phd kwenye canon law,wataalam wa sheria wanajua ni nini hiki na kwamba anayezisoma anasoma pia sheria za kawaida.mfano,mm nikisoma urbaniana university of Rome,nilipokuwa mwaka wa 2 nilipata likizo.kuja udsm niligundua kuwa somo la jurisprudence ambalo nilishasoma mwaka wa 2,udsm husoma mwaka wa mwisho na ni kati ya course ngumu zisizopendwa na wanafunzi wa shule ya sheria udsm.

So kuliko kutapika vitu msivyojua,ni afadhali kuuliza.nitaendelea kufafanua mengine.
 
mtu yeyote ambaye amekuwa padre anakuwa amesoma philosopy miaka mitatu ambayo ndo bachelor degree inatambulika na Theology miaka minne ambayo ni sawa na masters inatambulika usijifungie kwenye vacuum tafuta kujua mambo na kabla hujasema fanya utafiti wa kutosha tena nenda TCU wakupe ufafanuzi au muulize Kaina Rugaba Msemakweli atakwambia na pia PHD ya Heshima haitakiwi kutumika kama Initial kwa hiyo Kikwete huweze ukamuita DR hata siku moja ni kudharirisha weledi
 
Kuanzia leo ataitwa Imam kama Udr unakupa shida
agreed, imam slaa akipambana na dr. sheikh, amiri jeshi, muungwana, mkulu, ndugu, mheshimiwa, baba, anko, swahiba, cousin, jemedari, wakwetu, mkwere, mtaalam, kaka, shem, bro, imam, jah--kaya Jeykey
 
tuache kudanganyana Dr slaa hana masters na wala huwezi kulinganisha certificate ca theology na masters , nazani hata wewe hujui tofauti ya masters na certificate, nani alikwambia certificate kuna research?
huyu hana sifa ya kuwa Dr labda kwa mambo yao ya dini.
agreed, ataitwa kanyasu slaa!!!

does it make you feel better :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Sijaona bachelors na masters hapo,naomba nijibiwe bila kupigwa mawe ni swali la kawaida tu.
 
Yes. From certificate to PhD degree. This is another evidence if not proof of how smart the guy is. Kama unabisha, nenda ka-apply PhD kwa kutumia B.A/B.S diploma uliyonayo uone kama utapata admission. Only smart, alpha geeks can do that!

SUBIRINI KIDOGO, Mnachanganya mambo!! Tangu lini ukaambiwa PhD ni kama kutoka Form 3 kuingia Form 4!? Mmewahi kusikia Mphil, Licentiate Degrees, Higher Diploma nk. Hizi mnaziweka wapi? Mmeshasikia kitu kile kinaitwa TCU? Sasa bora mfiche ..... lakini sio hekima zenu.

Taratibu za academia hutofautiana kati ya mataifa na mataifa. Ulaya sasa hivi wanapigania kuwa na standard mmoja, wanaiita Bologna System. Lakini mnachofanya hapa mnamwangalia Mwingereza, ndiye aliyweka BSc, MSc na PhD, lakini wajerumani na nchi nyingi za Ulaya unasoma unatoka na Higher Diploma ambayo ni sawa na Masters kwa mfumo wa Uingereza. Na Uswisi na nchi nyingine za Skandinavia kabla ya kupata PhD inabidi ufanye Licentiate ambayo ni zaidi ya Masters ya Uingereza. Jambo la msingi elimu hio umeipata wapi, walimu wako wana kiwango gani na umeipata kwa muda gani na je kwa mfumo gani (yaani waweza ukafanya part time au full time).

Kwa Mh Slaa, amesoma hadi Form 6 na nadhani alisoma EGM pale Itaga au HGE( Naamini EGM). Philosophy amesoma miaka miwili baada ya kufaulu vizuri form 6 na Theology miaka 4 baada ya kufaulu vizuri Philosophy. Sio wote wanaopita Philosophy na Theology wanakwenda kwa PhD. Ni lazima upate kiwango fulani, na unaruhusiwa kufanya mitihani ya degree za vyuo vya secular(ita uraiani i.e visivyo vya dini) katika fani uliyuoisoma. Mpaka hapa unaona Slaa alifanya vizuri haya na Philosophy certificate yake ni equivalent na Adv Diploma (sikumbuki ni kwa chuo kipi, atatuambia yeye baadae) halafu akafanya miaka 4 (na hapa kuna possibility akiwa mwaka wa pili anafanya Bachelor Degree examination) na kuhitimu.

Kule Uingereza tangu miaka ya 1970 sio lazima uwe na masters ili ufanye PhD, UNASAJILIWA KAMA HIGHER DEGREE STUDENTS, ukifikia kiwango fulani unaambulia Mphil, zaidi ya hapo unaendelea kupata PhD. Jamani mfanye pia kautafiti kadogo!!
 
If you don't know, you don't know! kulingana na system aliyopitia ana uhalali wa kuitwa doctor na dnio maana hajatajwa katika mafisadi wa elimu, ana vyeti kulingana na system yake. Hawa watu siku zote ni vichwa, wanaopitia hiyo system. kwa hiyo mzanzibari anayesoma mpaka dara sa la nane ataniona mimi mbara sijamaliza primary kwa hiyo sina uhalali wa kupata cheti cha form four? au wakenya wasio na form six hawana uhalali wa kupata dgrees? haters, badilikeni , hating do not change anything! mtaumia wenyewe tu?:eyeroll2:
 
agreed, imam slaa akipambana na dr. sheikh, amiri jeshi, muungwana, mkulu, ndugu, mheshimiwa, baba, anko, swahiba, cousin, jemedari, wakwetu, mkwere, mtaalam, kaka, shem, bro, imam, jah--kaya Jeykey

umesahau Mbayuwayu! ambaye akili za kwake akajumlisha na za kuambiwa, akasema hataki kura za wafanyakazi!
 
Jamani naomba CV ya makamba! na ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam, mzee lukuvi
 
Jamani naomba CV ya makamba! na ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam, mzee lukuvi


CV ya lukuvi hii hapa, bado naisaka ya makamba....lakini wote hao magumashi tu!

Source: parliament website

First Name: William
Middle Name: Vangimembe
Last Name: Lukuvi
Member Type: Constituency Member
Constituent: Isman
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O.Box 914, Dodoma
Office Phone: +255 26 2321151
Ext.:
Office Fax: +255 22 2320046
Office E-mail: wlukuvi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 28 December 2005
End Date: 30 August 2010
Date of Birth 15 August 1955

EDUCATIONS
School Name Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Moscow - USSR Diploma in Political Science 1982-1983 DIPLOMA
Tabora Teacher's Training College Teaching Course - 1975 CERTIFICATE
Iringa Training in Defence and Security - 1980 CERTIFICATE
Computer Training College-Dar es Salaam Training in Computer Course - 1998 CERTIFICATE
Lindi Political Course -1976 - CERTIFICATE
Moscow - USSR Leadership Course 1985 - CERTIFICATE
Johanesburg - South Africa International Observers Course 1994 - CERTIFICATE
Washington International University - USA BA (Inter. Studies &Diplomacy) 2001 - GRADUATE


CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Dodoma Regional Commissioner Regional Commissioner (RC) 2006 Todate
Minister of State, Prime Minister's Office (Policy) Minister 2000 2005
Ministry of Labour and Youth Development Deputy Minister 1995 2000
Bukoba District Commissioner District Commissioner 1994 1995
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM - Head Office (Youth Organisation) Deputy Secretary General 1992 1993
Chama Cha Mapinduzi - CCM Regional Secretary - Youth Organisation 1989 1992
Chama Cha Mapinduzi - CCM Head of Department - Youth Organisation 1984 1989
Chama Cha Mapinduzi - CCM Regional Secretary - Youth League 1980 1984
PUBLICATIONS
 
Please go through this document from Dr SLAA
Tumchague kwa wingi, SERA za chadema ni nzuri kubadili katiba tu inatosha. Tunaumia Rais anachagua kila kitu mawaziri, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, makanda, wakuu wa majeshi etc hata akiamua kuweka ndugu wote nani atamuuliza.
Tumechoka

See the attachment.
 

Attachments

Nadhani watanzania tupeane elimu ya kuwa amani ni mali ya tanzania na siyo mali ya CCM na nchi yetu amani yake ipo siku zote kama sote tutaheshimu nguvu ya umma na kupata viongozi kwa njia ya amani bila Giliba yeyote kama rushwa kuogopeshwa bila CCM amani inatoweka.

Kumbuka ni hawa hawa CCM ni chama cha siasa na siyo amani ya watanzania watanzania amani yetu ni katiba na uwepo wa vyombo vya dola visivyotumikia chama bali taifa la tanzania tumpe kura ndugu yetu mh. sana Dr wa kweli Dakta Slaa mbunge aliyeweza kusimamia haki ukweli na siyo mbababaishaji !!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom