Mie sioni kitu hapo, yani advanced diploma to phd directly tena ya different profession, Mhhhh!!!!!!!??????. Weee Kaa chonjo!!!!!!!!
They way I know:
Mtu anaweza kufanya master's by dissertation (yaani no course work) then akifanya vizuri sana akatimiza masharti ya chuo husika plus na akawa amefanya at least one journal paper (article) kwenye accredited journal (sio any conference). Huyo mtu anaweza ku upgrade master's yake na kuwa phd directly kwa kuongezea more research ambayo pia ultimately lazima aproduce journal article katika accredited journal. Huyo mtu hatapewa master's degree tena bali atapewa phd directly. Ila aki fail phd atanyimwa vyote (yaani hapewi master's wala phd).
Ok, Dr. Slaa. Mie sioni kama anafaa kuitwa doctor, nimemtafuta kwenye google scholar sijaona kazi yake hata moja.
Kama ni Dr wa dini sawa kapewa na kanisa. lakini pia alitakiwa awe ame upgrade au alifanya master's b4 that.
So, mbele ya watu wenye PhD asijitape yeye ni doctor tutamtoa nishai.
Mie simchukii naomba tu akipata huo urais tabia za kikaskazini huko kwao aziache zisije kutuharibia nchi. Tunawajua watu wa kaskazini wanapenda sana short cuts za maisha.