Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969
Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960
EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977
Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
Sio kudanganya mkubwa ndio wataalamu walioweka vyeo vya kielimu waliamua hivyo. Usidahni Theolojia ni mchezo.
Unaweza kusema kwa nini Matabibu wa afya ya binadamu wakimaliza degree wanaitwa ma Dr?
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Mie sioni kitu hapo, yani advanced diploma to phd directly tena ya different profession, Mhhhh!!!!!!!??????. Weee Kaa chonjo!!!!!!!!
They way I know:
Mtu anaweza kufanya master's by dissertation (yaani no course work) then akifanya vizuri sana akatimiza masharti ya chuo husika plus na akawa amefanya at least one journal paper (article) kwenye accredited journal (sio any conference). Huyo mtu anaweza ku upgrade master's yake na kuwa phd directly kwa kuongezea more research ambayo pia ultimately lazima aproduce journal article katika accredited journal. Huyo mtu hatapewa master's degree tena bali atapewa phd directly. Ila aki fail phd atanyimwa vyote (yaani hapewi master's wala phd).
Ok, Dr. Slaa. Mie sioni kama anafaa kuitwa doctor, nimemtafuta kwenye google scholar sijaona kazi yake hata moja.
Kama ni Dr wa dini sawa kapewa na kanisa. lakini pia alitakiwa awe ame upgrade au alifanya master's b4 that.
So, mbele ya watu wenye PhD asijitape yeye ni doctor tutamtoa nishai.
Mie simchukii naomba tu akipata huo urais tabia za kikaskazini huko kwao aziache zisije kutuharibia nchi. Tunawajua watu wa kaskazini wanapenda sana short cuts za maisha.

Mnao hangaika na elimu ya dk. Slaa mnajua ni nini kinasomwa ktk seminari nilizoziorodhesha hapa chini?
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
kwa kuwasaidia tu kwani naona hamuijui elimu ya seminari kuu. ukimaliza form 6 unaingia course ya mwaka 1 (certificate in philosophy). Then ukifaulu unaanza certificate in theology for 3 yrs na kwa mfumo wa seminary this is more than master degree.
Kwa hiyo kama unasoma ktk mfumo wa shule za kawaida ndo utakuta hizo masters n.k. na wapo mapadre waliosoma pia ktk mfumo wa shule za kawaida.
Kwa dk. Slaa hiyo ni system ya kiseminari kwa hiyo baada ya kusoma miaka 4 after A-level, you go straight to doctorate. Kama mtu anashaka na chuo alicho soma check kwenye mtandao ujiridhishe.
Kwahiyo una-question integrity ya chuo kilichompa PhD Dr. Slaa?? Anyway, tangu lini mtu akapewa PhD bila kufanya utafiti??? Ukiona ni PhD Holder ujue utafiti alifanya, otherwise asingepewa.... Labda nikuulize, unadhani kati ya Dr Slaa na Dr. JK ni yupi msomi wa ukweli???
Hebu tupe vigezo vya kukidhi ili upewe PhD please (in your understanding)
Eagerly waiting for your response mdau
Jamani kama hatuelewi ni bora tukae kimya. Hapa kwetu shule za kawaida utasoma miaka 6 upewe certificate tu? Hizo ni zaidi ya certificate, lazima tuzingatie na contents plus durationKipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Mwenyewe ameandika kuwa Kipalapala na Kibosha amefanya Certificates.
Ni vipi certificates zikawa sawa na Degree au Masters. hapa naomba ufafanuzi zaidi nijiridhishe.
Na vipi ile Segerea Senior Seminary wanatoa nini kule?
tuache kudanganyana Dr slaa hana masters na wala huwezi kulinganisha certificate ca theology na masters , nazani hata wewe hujui tofauti ya masters na certificate, nani alikwambia certificate kuna research?
huyu hana sifa ya kuwa Dr labda kwa mambo yao ya dini.
Advanced Diploma ya Mwaka Mmoja?!!! Hapa ndipo mnaponichanganya changanya kama sio utani!!!!
Mie sioni kitu hapo, yani advanced diploma to phd directly tena ya different profession, Mhhhh!!!!!!!??????. Weee Kaa chonjo!!!!!!!!
They way I know:
Mtu anaweza kufanya master's by dissertation (yaani no course work) then akifanya vizuri sana akatimiza masharti ya chuo husika plus na akawa amefanya at least one journal paper (article) kwenye accredited journal (sio any conference). Huyo mtu anaweza ku upgrade master's yake na kuwa phd directly kwa kuongezea more research ambayo pia ultimately lazima aproduce journal article katika accredited journal. Huyo mtu hatapewa master's degree tena bali atapewa phd directly. Ila aki fail phd atanyimwa vyote (yaani hapewi master's wala phd).
Ok, Dr. Slaa. Mie sioni kama anafaa kuitwa doctor, nimemtafuta kwenye google scholar sijaona kazi yake hata moja.
Kama ni Dr wa dini sawa kapewa na kanisa. lakini pia alitakiwa awe ame upgrade au alifanya master's b4 that.
So, mbele ya watu wenye PhD asijitape yeye ni doctor tutamtoa nishai.
Mie simchukii naomba tu akipata huo urais tabia za kikaskazini huko kwao aziache zisije kutuharibia nchi. Tunawajua watu wa kaskazini wanapenda sana short cuts za maisha.
Sijaona bachelors na masters hapo,naomba nijibiwe bila kupigwa mawe ni swali la kawaida tu.
Angalizo:
Ahadi ya Dr. Slaa na CHADEMA ni Elimu bure hadi kidato cha Sita na si Chuo Kikuu (Mlimani). Free hadi Mlimani ni CUF.
Kutaja "Wahindi" sounds ubaguzi. Simply say wawekezaji wabovu wasio na uwezo. wako wengi hawa: Wazungu, Waasia, na hata Waafrika.
Si kweli ahadi za 2005 za CCM hazijatekelezwa, baadhi zimetekelezwa. Ila Maisha Bora kwa kila Mtanzania haijatimia.
Mafisadi 11 hawakutajwa Mnazi Mmoja, ilikuwa Mwembe Yanga Temeke.
Hayo machache ni kuweka records sawa tu. Mengine yako poa.