Jana saa moja kama na dakika 20 kulitokea purukushani pale annex hotel, Lema alikuwa na kikao pale, Baunsa moja wa ccm alinyofoa bendera ya chadema kutoka kwenye moja ya magari ya chadema walio kuwa wamehudhulia mahari hapo polisi sikuwaona...Ilikuwa majira ya saa moja unusu mwana CCM alipojitoa kumpigia simu mgombea Ubunge kwa CHADEMA kwamba Takukuru wameamrishwa na wamepewa hela ili wakamkamate Bwana Lema na wapandikize watu watakaotoa ushahidi wa uongo kwamba lema amewapa hela ili ksi iende police chap chap na CCM waandike malalamiko kwa mkuu wa NEC Arusha ili Lema apigwe Technical Knock out, kibibio batilda apite bila kupingwa.
Lema alikuwa na kikao na mawakala wake baada ya mkutano jioni ili kupanga mikakati ya kulinda kura katika kata ya Themi, Jiulize ni mpinzani gani umesikia kwanza ana hela ya kuhonga au anaita watu na mabasi kuja kushangilia na kununulia watu chakula na kuwapa viroba vya pombe ili watoe sauti aonekane anapendwa zaidi ya CCM.
Bwana Lema akawaaga gafla mawakala anatoka sababu Takukuru wanakuja, kufika getini geti limefungwa na mlinzi hajulikani alipo, Ikabidi makamanda wa chadema wambebe lema aruke ukuta na mabouncer kama watano wakatimka kukwepa fedheha ya CCM. takukuru kuja Holaaaaa.
Kuanzia sasa bwana lema ameandika barua Takukuru na Police kuomba ulinzi na atakuwa na vikao baada ya uchaguzi wa mawakala wake jana mambo yalikuwa shwari kulikuwa na Ulinzi wa Police.
Je tutafika ?
Issue sio lema kuwaogopa Police au mtu yeyote issue ni technic iliyokuwa ikepangwa kisheria ilikuwa
na nguvu kumfuta au kuchafulia ktk lala salama. Kumbuka kuna mbinu imepangwa kuahirisha uchaguzi
arusha ili CCM ajipange na walete nguvu kubwa baada ya uchaguzi ili viongozi wajuu wanaohaa
wote waje kumsaidia mama.
Lema ameshauriwa kuwa mpole kiaso ili asitoe mwanya ajihami na mipangilio michafu.
Batilda ni mtu wakaribu ki unyumba na EL na pia amewekwa ili kundaa safu(support) ya EL 2015.
Sisi tunaangalia sasa, ila EL anajipanga 2015 kupitia watu aliowaweka, huwezi Amini pale Mtaa wa spea December
alifungua tawi la wakereketwa akawapa rushwa ya 800,000 na ikaliwa na watu 3 tu, wakasema
hela ya mjinga huliwa nawerevu, na hatumpigii. je ni ngapi kama hizo zimeliwa ili kushawishi watu wampigia mta mzima.
hayo yote anayotokea ni kwamba amekuja kugundua ameliwa vya kutosha na sasa anataabika atarudishaje hela zake.
Kifupi mama ni Son of the bitch, means the materia of no commercia value. Sababu kwa mama yake ana watoto 4, yeye akiwa
kwanza mama yake akiwa anafanya Arusha hotel akazaa na mzanzibari asiyejulikana, so hamjui baba yake.
Pili mama yake akaja akazaa na mzungu mtoto wa pila, then mzugu akafukuzwa nchini sababu ya ufisadi. mama yake akaolewa tena
muarusha akazaa watoto wawili eugen na mwingine ambao akama umesikia mgombea arusha anatembea na waizi habari
ndio hio wadogo zake wana bad records ya wizi mkubwa.
habari ndio hio kifupi anavyokulikana bibie batilda.[/QUOTE
WAKUU hii hoja inanipa mashaka makubwa nayo ni jinsi matusi yanavyotumika kumjadili huyo mama, sioni kama ni ustaarabu kwani wapo wengi tu waliozaliwa katika mifumo hiyo na mtoa hoja aweza kuwa mmoja wapo.
Kinachojitokezahapa jamvini sasa naona ni ushabiki zaidi, jambo likimhusu mgombea wa CCM hujadiliwa pasipo staha wala kuchujwa na wapokeaji tunalipokea kwa asilimia 100 kuwa sahihi, lakini ikielekezwa kwa mgombea wa chadema tunageuka kuwa mbogo, huo ni ushabiki zaidi ambao sidhani kama utatusaidia.
Nimefuatilia mijadala kuhusu jimbo hilo la Arusha, matope na uchafu wa aina yote kwa huyo mama, lakini kwa upande wa Lema ni u malaika tu. Hapana hebu tumpe heshima yake naye kama binadamu, na kwa utaratibu huu haimsaidi Lema wala chadema.
Ni mtazamo wangu tu
[font="]ilikuwa majira ya saa moja unusu mwana ccm alipojitoa kumpigia simu mgombea ubunge kwa chadema kwamba takukuru wameamrishwa na wamepewa hela ili wakamkamate bwana lema na wapandikize watu watakaotoa ushahidi wa uongo kwamba lema amewapa hela ili ksi iende police chap chap na ccm waandike malalamiko kwa mkuu wa nec arusha ili lema apigwe technical knock out, kibibio batilda apite bila kupingwa.
Lema alikuwa na kikao na mawakala wake baada ya mkutano jioni ili kupanga mikakati ya kulinda kura katika kata ya themi, jiulize ni mpinzani gani umesikia kwanza ana hela ya kuhonga au anaita watu na mabasi kuja kushangilia na kununulia watu chakula na kuwapa viroba vya pombe ili watoe sauti aonekane anapendwa zaidi ya ccm.
Bwana lema akawaaga gafla mawakala anatoka sababu takukuru wanakuja, kufika getini geti limefungwa na mlinzi hajulikani alipo, ikabidi makamanda wa chadema wambebe lema aruke ukuta na mabouncer kama watano wakatimka kukwepa fedheha ya ccm. Takukuru kuja holaaaaa.
Kuanzia sasa bwana lema ameandika barua takukuru na police kuomba ulinzi na atakuwa na vikao baada ya uchaguzi wa mawakala wake jana mambo yalikuwa shwari kulikuwa na ulinzi wa police.
[/font][font="]je tutafika ?[/font]
source ???????????????????????????????????????????????????????????
Heshima kwako TripleDDD,
Mkuu hivi ulikuwa hujui Lema akishinda ubunge lazima atautema mapema.Sababu zipo nyingi moja kubwa ni kudanganya ana Advance diploma Human Resources Management wakati hata cheti cha Form Four hana akiwa mpole sasa haitasaidia kitu mwambie aendele kutukana umaarufu uzidi kupanda.
Mkuu RPC wa Arusha alimwambia Lema atamweka ndani iwapo ataua tu anayo kinga mpaka tarehe 31/10/2010 kesi za kutukana,kudhalilisha,kutapeli zitasubiri uchaguzi umalizike haitajalisha kashinda ubunge au kashindwa ,kwahiyo kama unategemea Lema aswekwe korokoroni peleka ushahidi wa mauaji.Nadhani ulikuwepo siku kamanda Basilio Matei alipomweleza Lema mbele ya wafuasi wake na viongozi wa CHADEMA.
wewe si ndo ulileta kashifa za kutunga
Pumba zako zinaonesha ulivyo poor minded
Iivi uyu Burian Matiilda ni nani uko CCM? unaweza kuta kuna mkubwa anaimbisha apo ndo maana anatetewa kwa nguvu zote Kama Mbega Iringa.
Kazi ipo
Punguza jazba jibu hoja matusi hayajengi bali yanabomoa inaonekana umekaa na Lema kakuambukiza ujinga wake.Kama nimetunga onyesha nilichotunga nitakujibu kwa ustaharabu bila jazba wala dharau.
Nakuachia assigment ndogo mwambie Lema aonyeshe cheti cha Form Four donge nono litatolewa bwaha ha ha ha .Imekuuma hatutaacha kukemea uchafu wa Lema.