Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

badala ya wewe kuweka cv za watu humu
tuelezee elimu yako toka Mkwawa tulipo kufahamu tukiwa na mgwa Mwende
na sisi tutajibu mapigo yaliyojiri kule
Tuje UDSM tueleze yaliojiri
Jiangalie wewe kwanza je elimu uliyo nayo ni kutokana na akili yako?
ukishapata jibu anza kuwasema wenzako
watch out!



 

Siyo wote wanaopondea hii thread ni wafuasi wa CHADEMA,ina maana hakuna vitu vya msingi vya maendeleo vya kujadili hadi tuijadili CV ya mtu? Haya sasa mleta mada ameiweka CV ya huyo mbunge hapa,je imemsaidia nini? je huyo mbunge ameathirika vipi CV yake kuwekwa jamvini? na je CV mbovu za viongozi wetu zikiwekwa hapa mtajisikiaje?.
Narudia kusema ndio maana vijana wa CCM tuna dharaulika sana,badala sisi tuwe wa kwanza kuwa shauri viongozi wetu wafanye mambo ya msingi na ya muhimu ya kukijenga chama sisi tuna wapondea na kuwaundia kashfa za uongo wapinzani wetu wanao wa kosoa viongozi wa chama chetu,TUBADILIKE WANA CCM wenzangu
 
Lema ni jambaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na gaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Naona umeingia kwa Lema siku hizi,lema mtoto wa mjini atakuteka kibabu Ritz na HAMY-D

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
HATUHITAJI CV YA MTU TUNAHITAJI UCHAPAKAZI WAKE, baba yako anaCV nzuri amefanyia nini taifa??? Tuandikie tuone CV yake na kazi kafanya kwa taifa hapo tunaweza jadili, vinginevyo huna cha maana, kazi ni kwako

jingaaaaa !!!!! bora pumbavuuuu!!!
 
Bora wewe mwenye mawazo chanya


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi nina cv kubwa na kali kuliko lema....lakini sijasaidia jamii na taifa kufikia hata robo ya lema....so angalia cv sio kila kitu....
 
Watu mapovu kibao yanawatoka! kinachotakiwa ni ukweli sio kuongopa kama alivyofanya lema, Profesa Maji marefu kaweka CV ya ukweli, Mheshimiwa Abood vile vile, Why Lema achakachuwe kamaliza "O" level mwaka huo huo akaanza "A" level.

O level yenyewe miaka mitatu, namshangaa Sugu alivyokuwa anamkandia Philip Mulugo kuwa ana elimu ya kuunga unga sijui ndio mambo ya "Nyani haoni kundule"
 
Hata kama! Huyu jamaa jembe kuliko wale mawaziri waliogushi vyeti ili kupata vyeo kufisidi nchi.
 
Kafanya kazi kubwa ya kanisa jamaa huyu. Kumbe ndio maana ni mdini sana.
Cv imekaa kiujanjaujanja sana. Yaani mh huyu kaungaunga sana!!
Hivi ile kazi ya kuiba magari alianza akiwa na vyeo vyake hivyo au ni tuhuma tu hakuna ukweli Ritz

weka cv ya Lusinde na Maji marefu hapa,ivi kanisa na Wachaga tumewakosea nini Magamba?
 
Last edited by a moderator:
Tunahitaji kiongozi mwenye uchungu na mapenzi ya kweli na nchi yetu . Hayo mengine yote mapambo tu .
 
Toa boriti kwanza kwenye jicho lako,ili uweze kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.Tunaomba CV yako haraka sana.Nimefurahi umeweka hii .sasa tunataka yako.
 
Wanasiasa kuweni wa kweli kudanganya wananchi siyo vizuri.
Tumeshazoea kudanganywa Mkuu.sisiem imeanza kutudanganya lini unakumpuka? Hivi Mtu akikutwa na jamhuri akiwaanajinyonga wakafanikiwa kumuokoa wanamfanyaje? Leo Soweto watu wamekufa watu wamepiga kimya eti CDM wamejilipua wenyewe huoni huu ni uongo pia-Tanzania bila Sisiem inawezekana
 
HATUHITAJI CV YA MTU TUNAHITAJI UCHAPAKAZI WAKE, baba yako anaCV nzuri amefanyia nini taifa??? Tuandikie tuone CV yake na kazi kafanya kwa taifa hapo tunaweza jadili, vinginevyo huna cha maana, kazi ni kwako

kwa point hizi mkuu, ningelikuwa mod ningeifunga thread hii... kwani ndio majibu.
 
HATUHITAJI CV YA MTU TUNAHITAJI UCHAPAKAZI WAKE, baba yako anaCV nzuri amefanyia nini taifa??? Tuandikie tuone CV yake na kazi kafanya kwa taifa hapo tunaweza jadili, vinginevyo huna cha maana, kazi ni kwako
kwa point hizi mkuu, ningelikuwa mod ningeifunga thread hii... kwani ndio majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…