Wasifu wa Godbless Jonathan Lema


Nimemwambia na pengine naye atasoma hilo baadaye, nafurahi pia unaelewa kwamba wakati mwingine ana-behave kutokana na pressure za wananchi wake,ni ngumu sana kwake kutumia hekima yake.Natumai kabisa Mungu atamzidishia hekima na akitulia atatengeneza uhusiano wake na polisi.Asante sana Gurudumu.
 


Heshima kwako Michelle,

Mwaka 2005 Lema akigombea ubunge kwa tiketi ya TLP alisema ana Diploma in Theology.Mwaka 2010 kadai ana ADHRM,mwaka 2015 akidai ana PhD najua atapata watetezi !.Tanzania kila aina ya usanii unakubalika Mungu atusaidie kuyapokea yaliyoshindikana.

Mheshimiwa Lema ni mbunge hizi sifa asizokuwanazo za nini.Michelle anadai Lema ana ADHRM sasa anamalizia Bachelor of Business Administration ????.
 

Nilichokujibu baada ya hoja yako ameniambia Lema si mkewe,sasa nimekujibu unaanza hoja nyingine. Lema ameutafuta ufahamu/knowledge na anazidi kuutafuta kwa kuwa anasoma,tatizo liko wapi kama anaupata hata kama ingekuwa aliruka level zote hizo? Matajiri wangapi duniani hawana elimu sembuse Lema aliyesoma na anayeongeza elimu yake??? Zuma anaongoza nchi ambayo kiuchumi iko juu kuliko nchi zote Afrika ameshindwa wajibu wake kwa kukosa elimu?Ni Lema anayekwenda darasani na anapenda kufahamu?Mi hujanibana,yani kwa kujibu mtu kama wewe,ni ishu ndogo sana.....And by the way,Keep Talking Someday You Might Say Something Intelligent!!:car::car:
 
Ukipenda kipofu utaita kengeza...Kama tumefika mahala mpaka matapeli wanaonekana safi katika jamii, kazi kweli kweli
 

kwani tatizo ni nini ngongo? hebu jaribu kusoma post zote kwenye hii thread nadhani maswali yako hayo yamejibiwa mno. kwa ufupi, hatuhitaji elimu ya darasani kama kiongozi anatimiza wajibu wake na wapiga kura wake wanaridhika. kisha, kuishia form two siyo mwisho wa mtu kusoma.
 

Kuna Limitation kwamba ukisoma Theology usiendelee kusoma,five years hazitoshi kwa mtu kusoma ADHRM????I bet your brain feels as good as new, seeing that you've never used it.

Hakuna sehemu nimesema anamalizia BBA,nimesema bado anasoma,why all this hate? Let him be!.......
 


Heshima yako Ngongo.

Wazoefu wa hapa jf tunajua kilichoko rohoni ama moyoni mwako dhidi ya mh.Lema.
Wakati wa kampeni ulitueleza mengi sana mabaya kuhusu Lema lakini mwisho wa siku machalii wa arusha walimchagua Lema na kuwaacha wasomi wako Batilda, Lyimo wa tlp-mshikaji wako, yule jamaa wa demokrasia makini aliyedai ana masters na wengine wengi.
Halafu december nilikuja arusha nilitamani sana nikuone lakini umejificha, hutakikufahamiana na wana jf wenzako, any way ni haki yako ingawa this is too much bana.

Back to the topic, kama ungekuwa makini kujua jinsi mfumo wa elimu wa Tanzania unavyofanya kazi wala usingeshangaa ni kwa nini Lema ana Advanced Diploma lakini bado tena anasoma bachelor, sitaki kukupa majibu ya haraka ila kalifanyie kazi hilo, ukishindwa uje uniambie nitakufahamisha. Na pengine kama unavyoonyesha wasiwasi na elimu ya bw.Lema kwamba inawezekanaje akapokelewa kusoma advance diploma akiwa hana hata cheti cha form four, kwanza jaribu kupata uhakika kama hicho chuo kweli kipo na kiko-recognized/accredited na vyombo husika. Kama huwezi kutafuta habari hiyo mwenyewe muombe msemakweli akusaidie, yeye ameweza kuwaumbua wengi tu nadhani utakuwa unamfahamu.

Kwa kumalizia tu, hivi unashangaa nini mtu akisoma ADHRM na then akasoma BBA!!??
C'mon Ngongo hebu fanya homework yako vizuri, ili habari unazotuletea tuzione zina ukweli ndani yake, vinginevyo itakuwa ni katika kuendeleza jealous arife.
 

Watoto wako wanenda shule?
Kama lema hajasoma ukijuwa then what?utaenda kupinga ubunge wake mahakamani?

Shit,hebu tuongelee lema atawasaidia vipi watoto wa arusha wasio jiweza kwenda shule na mambo kama hayo!

The rest are for him and his wife,kama unataka kumjua zaidi mtumie barua ya kuomba mahusiano
 


Heshima yako Michelle,

Huyu Ngongo ni hater, kila anchofanya Lema yeye ni kumpondea tu. Na inaonekana hajui mfumo wa elimu hapa tanzania unavyofanya kazi hususan kwa kiwango cha vyuo vya elimu ya juu. Hajui politiks za bachelor degrees vs advanced diplomas hapa bongo nimempa hiyo homework, akishindwa nitamsaidia.
Lakini vile vile ngongo anashindwa kuona kwamba kuna tofauti kati ya HRM na BA?? Watu wangapi wana bachelors mbili ama zaidi, wengine wana masters mbili ama zaidi, ngongo unaishio dunia gani kamanda?

Anyway, tuendelee kumuelimisha kidogo kidogo, nadhani itafika siku atakubaliana na matakwa ya wana arusha hata kama ni kwa shingo upande.
 

kwa namna ambavyo ngongo anaulizia kuhusu uwezekano wa Lema kuwa amesoma, inawezekana yeye ndiye hajasoma. huwezi ukawa umesoma halafu ukawa hujakutana na watu ambao walishindwa kumaliza form four kwa sababu mbali mbali lakini wakajiendeleza kama private candidates. hebu ngongo atupatie cv yake hapa, kama kweli amesoma?
 

Au inawezekana ngongo ni ndugu yake na batilda? sikuwahi kujua kwamba kuna binadamu mwenye kichwa kigumu kama ngongo. kama amesoma, aliwezaje?
 

Inawezekana, Ngongo ndiye Batilda??..
 
Ukipenda kipofu utaita kengeza...Kama tumefika mahala mpaka matapeli wanaonekana safi katika jamii, kazi kweli kweli

You're very smart. You have brains you never used.....After all that has been said above,this is the comment that comes from your head........
 
You're very smart. You have brains you never used.....After all that has been said above,this is the comment that comes from your head........

Yes thickhead, that is all I have to say for this post, do you have a problem ?
 
Ukipenda kipofu utaita kengeza...Kama tumefika mahala mpaka matapeli wanaonekana safi katika jamii, kazi kweli kweli

This is the ultimate hypocrisy of Jamii Forumers. Ukiwa tapeli na elimu ya Form II, chadema unaonekana mpiganaji unayejua shida za wananchi. Ukiwa chama kingine unaitwa kilaza na fisadi.

Its so pathetic. Actually, it is so sad kwamba wananchi are loosing the control of their thought process kwa sababu ya ushabiki.
 

Well, keep doing your job!
 

Hata Rizwani alipoaanza kutamba na BMW X5 mara tu baba yake alipotwa Urais kulikuwa na hadithi kama yako......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…