Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Yes thickhead, that is all I have to say for this post, do you have a problem ?

I have said it already Mr brainless,mind you, you are responding to what i said................
Am glad i have a thickhead but with a brain that is useful,its different from you with a brain that you never used...............lol
:Cry::Cry::Cry::car:
 
Hata Rizwani alipoaanza kutamba na BMW X5 mara tu baba yake alipotwa Urais kulikuwa na hadithi kama yako......

Hiyo si hadithi,unafikiri hela ya ubunge imeshafanya hayo?au kahongwa?ulishamsikia kwenye kashfa za ufisadi au wizi wowote au deal yeyote kubwa ya kuweza pata hizo hela anunue hilo gari?fanya utafiti then njoo tueleze si ku-compare watu wawili wasio na mazingira sawa ya kupata mali walizonazo.....
 
Hivi tatizo hapa ni nini jamani? Nini lema ameshindwa kufanya kwa sababu hana elimu?

Could it have resulted from mafanikio makubwa ya mazishi ya mashujaa? Inaweza kuwa hasira ya kushindwa kuzuia maiti zisije NMC? Au mashehe fake wa bakwata arusha kushtukiwa? Au Kitanda kuaibishwa na maaskofu? Au polisi kushindwa kudanganya wananchi kwamba makosa ni ya Chadema?

Kwa nini hatujadili jinsi lema anatekeleza kazi zake? Au ametenda kwa ufanisi kiasi kwamba tunaogopa tukijadili tutampa nguvu zaidi?

Kwa nini hatujadili cv ya Chatanda, mbunge wa viti maalum? Makamba katibu mkuu wa ccm? Kinana muasisi wa sera za udini?

Hivi JK na GL nani kasoma zaidi? Umesikia mmachinga kasababisha rais kutolewa madarakani huko Tunisia? JK na GL nani anamfahamu mmachinga kuliko mwenzake?
 
Jamani huyu kijana namkubali sana, ila nimewahi kuona gari lake aina ya jeep af no plate yake imeandikwa. LEMA 1 , hii gari vp anaejua anijuze
 
This is the ultimate hypocrisy of Jamii Forumers. Ukiwa tapeli na elimu ya Form II, chadema unaonekana mpiganaji unayejua shida za wananchi. Ukiwa chama kingine unaitwa kilaza na fisadi.

Its so pathetic. Actually, it is so sad kwamba wananchi are loosing the control of their thought process kwa sababu ya ushabiki.

Mbona wapo wengi tu CCM wasio na elimu na wengine hata ni mawaziri? Kafanye utafiti uje uniambie kuhusu elimu yule mbunge wa CCM wa jimbo la Rorya Lameck Airo Mara alisema yeye ana elimu ya darasa la saba,ni mfanyabiashara kama Lema na wananchi wake wanampenda same na wa Arusha wanavyompenda Lema, na alimwangusha Professa Sarungi(if am not mistaken)PHD holder????Where is our hypocrisy?lini tumewaita vilaza na mafisadi kwa kuwatumikia wananchi wao?wanaitwa mafisadi wakiwa mafisadi na kutoa argument zinazoashiria wao ni vilaza.
 
Jamani tuache ushabiki, Lema hakuwahi kusoma elimu ya juu kabisa, aliyesema kwamba Lema amesoma Njiro atuambie amemaliza mwaka gani??
 
Jamani tuache ushabiki, Lema hakuwahi kusoma elimu ya juu kabisa, aliyesema kwamba Lema amesoma Njiro atuambie amemaliza mwaka gani??
Hilo la aliposoma lilikosewa na limesharekebishwa, ungesoma post zote za nyuma ungeyaona hayo,usiite ushabiki kwa post mbili ulizosoma.
....amesoma ADVANCED DIPLOMA YA HUMAN RESOURCES MANAGEMENT,CAMBRIDGE INTERNATIONAL COLLEGE,kwa kinywa chake amesema sasa wewe tukuulize,Je Lema alikuwa anawajibika ku-report kwako kama anaenda kusoma?? manake umemkania as if ada ulikuwa unampa kwa hiyo unajua sana alichosoma.Habari ndo hiyo sasa!! kama vipi nenda Cambridge International College kaulize.
 
naona ulijiunga jf sababu ya umbea tu,kudanganya elimu ni sababu ya kukuondolea ubunge mahakamani lakini sababu hiyo haijatajwa kwa lengo la kumvua ubunge na ipo wazi,rejea kesi ya uchaguzi mwaka 1995 kati ya kihiyo vs nccr-mageuzi

te te te ,elimu sio kigezo cha uongozi?kweli nimekubali ww ni kati wa wapu. . . . . Ambao ktk karne 21 wanaamini elimu aina mana nakucheka sn,ndo mana nakubali kuna mapungufu ktk katiba moja wapo ni hili la elimu kusema ukweli inatakiwa mbunge awe dgree 1,mbunge kakimbia shule form 2 ataonaje umuhimu wa elimu we fa. .
 
Hilo la aliposoma lilikosewa na limesharekebishwa, ungesoma post zote za nyuma ungeyaona hayo,usiite ushabiki kwa post mbili ulizosoma.
....amesoma ADVANCED DIPLOMA YA HUMAN RESOURCES MANAGEMENT,CAMBRIDGE INTERNATIONAL COLLEGE,kwa kinywa chake amesema sasa wewe tukuulize,Je Lema alikuwa anawajibika ku-report kwako kama anaenda kusoma?? manake umemkania as if ada ulikuwa unampa kwa hiyo unajua sana alichosoma.Habari ndo hiyo sasa!! kama vipi nenda Cambridge International College kaulize.

Amemaliza mwaka gani huko?? Bwahahahahahahahahahahahahaha
 
Amemaliza mwaka gani huko?? Bwahahahahahahahahahahahahaha

Ningekujibu lakini kwa hicho kicheko chako,na kwa kuwa ulishasema hajasoma,then fanya utafiti.....nimekupa details,sasa ni kazi yako kujua yaliyobaki,nenda kwenye website yao kuna contacts pale,wapigie waulize..................Bwa ha h ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ukiona mtu ameletwa kwenye limelight jua amewagusa pabaya watawala..
watatumia kila mbinu kumshusha..but it's too late.
Mambo anayofanya Lema ni makubwa (100X) kuliko waheshimiwa wengi wanaotaka kujipambanua kama wasomi.
 
I have said it already Mr brainless,mind you, you are responding to what i said................
Am glad i have a thickhead but with a brain that is useful,its different from you with a brain that you never used...............lol
:Cry::Cry::Cry::car:

thickhead...if you knew the meaning, you wouldn't have said that, LMAO what more proof can one ask for!? :ban:
 
Ukipenda kipofu utaita kengeza...Kama tumefika mahala mpaka matapeli wanaonekana safi katika jamii, kazi kweli kweli
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.
kibaka we...............
 
Kaka yake alimletea kama zawadi na ndugu zake wengine kutoka Namibia,sina hakika kama inaruhusiwa but najua inalipiwa hiyo plate no.Lema ni mfanyabiashara wa madini,hilo la fundi computer labda alikuwa anafanya kama hobby akisubiri wateja..............lol[/QU
tell em michelle....................yanaonekana manunda hayo hayataki kukubali ukweli basi si wamshauri huyo makamba wao aakasome.
 
Labda mlitaka awe amesoma Marekani na kukulia Uingereza na kufanya kazi Canada ndo mngesema cv yake ni safi kwa mjibu wa michelle,hiyo cv ni tosha, hata hivyo ni kijana anaye jua maisha halisi ya machali wa AR kwani angekuwa amesoma Marekani asinge subutu kupigania haki mpaka akapigwa na polisi kwa kuwatetea wanyonge nampongeza sana ,
 
Back
Top Bottom