Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Nawakumbuka profesa Majimarefu (Korogwe), Mwanjale(Mbeya), Mteketa(Kilombero), Murji(Mtwara)................nk wote CCM
 
Mhe; Godbless Lema

Kiwango cha Elimu; Form four leaver. (Kidato cha Nne)
Uzoefu: Muuza mitumba Arusha.

Waziri Kivuli Habari, Michezo na Utamaduni
 
je wale wenye vyeti vizuri wanafanya mageuzi gani maana unaweza kuwa na elimu kubwa lakini hakuna change yoyote wanayoyafanya.
 
Wanaukumbi,

Hii hapa chini ni CV ya Lema imejaa uongo mwingi sana kuhusu elimu yake anasema amesoma Diploma na Degree Cambridge International College

Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1748.jpg
First Name: Godbless
Middle Name:Jonathan
Last Name:Lema
Constituent:Arusha Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: glema@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 26 October 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location
Cambridge International College
Geita Secondary School
Kolila Secondary School
Kalangala Primary School
Cambridge International College

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Diploma[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Degree[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"] Todate [/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Arusha Urban Constituency
PTNChief Executive Officer (CEO)
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General
DENETRIADirector

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
Chama Cha Demokrasia na MaendeleoMember of Parliament
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General
Tanzania Labour Party, TLPCandidate, Member of Parliament

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS [/TH]

[TH="class: text_menu"]Description[/TH]
[TH="class: text_menu"]Date[/TH]
 
Mkuu Ritz, kule bungeni kuna wanaojidai wana vyeti lakini hawana la kusema kuisaidia nchii hii wao wanalala tu. Jembe hili kwanza nilifikiri lina Phd kumbe ni diploma tu. Kamanda Lema hongera sana kwa juhudi zako, na nina imani ukipata first degree tu utaua kwa akili kabisa. Ritz hebu weka na zile za mawaziri na wabunge wenu waliogushi vyeti na hadi leo wanaogopa enda public kukana!!!! Ukishamaliza hiyo list basi rudi kumchambua Lema. Wakuu hebu dondosheni majina ya wabunge na mawaziri wa magamba wenye utata na elimu zaoa!!! Na kale kakitabu kalichowafafanua kama kipo soft copy hebu rusheni hapa wakuu. Ukilianza ni lazima ulimalize!!
 
Toa sababu kuu 2 zitakazoenyesha hiyo Cv ni uongo. Chadema ni chama cha watu wenye akili sio chama chenu mnabebana kulipana fadhila
 
Wanaukumbi,

Hii hapa chini ni CV ya Lema imejaa uongo mwingi sana kuhusu elimu yake anasema amesoma Diploma na Degree Cambridge International College

Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1748.jpg
First Name: Godbless
Middle Name:Jonathan
Last Name:Lema
Constituent:Arusha Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: glema@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 26 October 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Cambridge International College
Geita Secondary School
Kolila Secondary School
Kalangala Primary School
Cambridge International College

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Diploma[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Degree[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"] Todate [/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Arusha Urban Constituency
PTNChief Executive Officer (CEO)
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General
DENETRIADirector

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
Chama Cha Demokrasia na MaendeleoMember of Parliament
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General
Tanzania Labour Party, TLPCandidate, Member of Parliament

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS [/TH]

[TH="class: text_menu"]Description[/TH]
[TH="class: text_menu"]Date[/TH]

Utachafua sana watu lakini mwisho wake ni nguvu ya umma na hatutyaacha kuipenda CHADEMA......peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez..........malizia RITZ.
 
Lipumba ana CV nzuri lakini ni mdini, kashindwa hata kujenga chama chake. After all wezi wote wakubwa wa nchi hii ni wasomi.
 
Wanaukumbi,

Hii hapa chini ni CV ya Lema imejaa uongo mwingi sana kuhusu elimu yake anasema amesoma Diploma na Degree Cambridge International College

Kuna watu wana CV nzuri tu lakini ndo wanaoongoza kwa biashara ya Madawa ya Kulevya na hadi sasa hawatumii elimu waliyoipata kuwasaidia Watanzania zaidi ya kuwaangamiza tumeshuhudia Maprofesor wengine ni wachumi wazuri tu lakini ndo wanaoongoza kwa ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma. Kwa hiyo ndugu hiki unachokiweka hapa hakina msaada wa kuweza kutuondoa kwenye hali mbaya ya Elimu, Afya na huduma zingine za kijamii zaidi ya wewe kuonekana una chuki binafsi na Mh.Lema kama alivyo jamaa yako Chriss Lukos
 
Leo nimechukua kadi. Ebu weka CV ya Mr. Lukuvi na Bi Kiroboto hapa
 
Ritz huwa unaweza kuchangia ila si kuanzisha thread,kuna haja ya kujitafakari.Wewe na mwenzako chriss Lukosi mmekua mnahaha kumchafua ndugu Lema kwa siku nzima ya leo.

Kwa upande wangu naona kama task yenu ya leo ni "CHAFUA LEMA"(CL)
 
Toa sababu kuu 2 zitakazoenyesha hiyo Cv ni uongo. Chadema ni chama cha watu wenye akili sio chama chenu mnabebana kulipana fadhila

Kusikia hausikii hata picha uoni.

Pitia orodha ya wanafunzi waliomaliza Diploma 2008 Cambridge International College kama utalikuta jina la Lema.
 
Kwa habari nilizozipata lema alizaliwa 1963 amepunguza miaka
 
Ritz huwa unaweza kuchangia ila si kuanzisha thread,kuna haja ya kujitafakari.Wewe na mwenzako chriss Lukosi mmekua mnahaha kumchafua ndugu Lema kwa siku nzima ya leo.

Kwa upande wangu naona kama task yenu ya leo ni "CHAFUA LEMA"(CL)

Mkuu kuweka CV ya Lema ndiyo kumchafua.
 
Back
Top Bottom