Ila hawa waliopo ndani ya CCM hasa katika vyeo, maneno yao na matendo yao wanaamini hata mbinguni watakuwa na vyeo vyao.Alijua Kuna siku cheo atakiacha nje ya kaburi
Kuna shida kidogo na wasifu huu unaoelezwa hapa.Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya.
Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM.
Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha alikuwa ni mwanachama wa CCM asiyekuwa na tabia za hawa wanaccm tuwajuao na nina hakika jana kuna aibu fulani viongozi waliokuwepo pale walijisikia mioyoni mwao.
1. Watoto walikiri kabisa kuwa Baba yao aliwakataza kabisa kutumia jina lake katika kutafuta maisha yao na kuyaendesha. Hii ni kinyume na watoto wa viongozi hawa wa sasa ambao mpaka serikalini wanatoa amri au kugawa vyeo yaani mf. Mtoto wa mama au unanijua mimi?
2. Nchimbi Katibu mkuu wa CCM jana kasema wazi kuwa yeye na Warioba walijadili sana tabia yake ya kupenda kusikia mawazo ya wengine na hakuwa ANA KASIRIKA kusikia mawazo mbadala, tofauti kabisa na haya tuonayo kwa sasa.
Utekaji, vipigo vya wapinzani, kuharibu uchaguzi na kubambikiana kesi ni tabia inayotokana na KUCHUKIA mawazo mbadala.
Hakika marehemu Msuya alikuwa Mwanachama wa CCM ambaye hakuwahi kuwa na Tabia za Kiccm ambazo kwa sasa ni desturi yaani Ubinafsi, chuki, ukatili na uongo dhidi ya wengine.
Rest in peace mzee Msuya, kampe salamu Julius na mwambie chama chake alicho kiasisi kwa sasa sio kile kinacho jali utu tena.
Utakuwa hukuelewa swali lake; ambayo ni kawaida ya huyo mtu. Tabia yake huwa hataki kufafanua, hata kama ni swali aeleweke anauliza nini.Usinichukulie poa mbatizaji, unamuuliza hilo swali Govt retired officer.
Utakuwa umenielewa namaanisha nini nadhani.
Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya.
Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM.
Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha alikuwa ni mwanachama wa CCM asiyekuwa na tabia za hawa wanaccm tuwajuao na nina hakika jana kuna aibu fulani viongozi waliokuwepo pale walijisikia mioyoni mwao.
1. Watoto walikiri kabisa kuwa Baba yao aliwakataza kabisa kutumia jina lake katika kutafuta maisha yao na kuyaendesha. Hii ni kinyume na watoto wa viongozi hawa wa sasa ambao mpaka serikalini wanatoa amri au kugawa vyeo yaani mf. Mtoto wa mama au unanijua mimi?
2. Nchimbi Katibu mkuu wa CCM jana kasema wazi kuwa yeye na Warioba walijadili sana tabia yake ya kupenda kusikia mawazo ya wengine na hakuwa ANA KASIRIKA kusikia mawazo mbadala, tofauti kabisa na haya tuonayo kwa sasa.
Utekaji, vipigo vya wapinzani, kuharibu uchaguzi na kubambikiana kesi ni tabia inayotokana na KUCHUKIA mawazo mbadala.
Hakika marehemu Msuya alikuwa Mwanachama wa CCM ambaye hakuwahi kuwa na Tabia za Kiccm ambazo kwa sasa ni desturi yaani Ubinafsi, chuki, ukatili na uongo dhidi ya wengine.
Rest in peace mzee Msuya, kampe salamu Julius na mwambie chama chake alicho kiasisi kwa sasa sio kile kinacho jali utu tena.
F*ck hao wazee wamekulindieni rasilimali ambazo Leo hii mnagawa Kwa wajomba zenumbona sioni ligacy ya msuya. katuachia alama gani? ukitizama sgr unaona sura ya magufuli, ukitizama daraja la kigamboni unaona sura ya kikwete, ukitizama mipaka yetu unaona sura ya musuguli, huyu tunamtizama vipi?
Kuna shida kidogo na wasifu huu unaoelezwa hapa.
Najuwa si sahihi kumsema marehemu katika ubaya, lakini mambo mengine ni ya msingi sana kuacha kuyasema.
1. Huyu mzee aliishi nchi gani miaka hii ya karibuni? Aliishi Tanzania hii na CCM ikfanya chochote ipendacho, hata maovu, yeye hakuona ubaya wowote?
Sikuwahi hata mara moja kumsikia huyo mzee akiwasema hao wenzake, ambao sasa anapewa sifa ya kuwa tofauti na wao!
2. Kuna huyu Nchimbi, ambaye na yeye katupiwa kamba ajinyonge kisiasa, kuonyesha upungufu mkubwa kama kiongozi. ; anayependa kusifusifu hata mambo yasiyo stahili kusifiwa; kama miradi inayojengwa na waTanzania na kuifanya iwe ya Samia; unafiki mtupu!
Unafahamu wajibu wa Prime Minister? Maana ndio cheo cha juu kabisa alichowahi kushika kama mtendaji ukiacha kile cha 1st VP?mbona sioni ligacy ya msuya. katuachia alama gani? ukitizama sgr unaona sura ya magufuli, ukitizama daraja la kigamboni unaona sura ya kikwete, ukitizama mipaka yetu unaona sura ya musuguli, huyu tunamtizama vipi?