Wasifu wa Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au Klynn

Wasifu wa Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au Klynn

Huyu dada it happens atachukiwa na Watz forever from now on!

Sijui kwanini amejitahidi sana kujitutumua na Amorette and what not ila watu wanamkaushia tu!

Anapenda attention ninavyomuona ila always she will never be number one...

Amorrette was the big investiment ila sijui kwanini nobody cares or gives a shit...

Sijui kwanini anaonekana golddigger,I wonder why!

Anajitahidi sana aonekane self made entrepreneur,ila nobody gives a shit!

Its sad,limelight na power aliyokua anaitafuta sijui kwanini hakupata na hatakaa apate tena.

I really feel sorry for this over ambitions girl from Kigoma....
Ameanzisha mradi ukubwa sawa ila chini ya kivuli cha mwanaume sasa nani atamuamini ni street fighter
 
Atachukiwa kwa kua Mengi amefia mikononi mwake..akili za binadamu ni kua amemuaa ili apate Mali,familia haijawahi mkubali huyu Dada na anaonekana ni gold digger...!!
Huyu dada it happens atachukiwa na Watz forever from now on!

Sijui kwanini amejitahidi sana kujitutumua na Amorette and what not ila watu wanamkaushia tu!

Anapenda attention ninavyomuona ila always she will never be number one...

Amorrette was the big investiment ila sijui kwanini nobody cares or gives a shit...

Sijui kwanini anaonekana golddigger,I wonder why!

Anajitahidi sana aonekane self made entrepreneur,ila nobody gives a shit!

Its sad,limelight na power aliyokua anaitafuta sijui kwanini hakupata na hatakaa apate tena.

I really feel sorry for this over ambitions girl from Kigoma....
 
Sasa mnatoa.wasifu wa Jacquue wakati huu wa msiba wa mumewe kwani naye amekufwa?!
 
Jamani watanzania tuacheni mambo ya kipumbavu kama haya ya kuchunguzana,hayo ni maisha yake binafsi,Kutoongezewa mshahara isiwe sababu ya kuwafuatilia wengine,
Nimecheka kifalaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwahiyo majamaaa hasira za kutokuongezewa mishahara wamehamishia kwa K- lyn
 
You want to kill someone bro. Reduce your angry
Bro

Women are emotional.....

They are not money hungrious like men....

And they are not emotionally strong like men either...

With their weaklings state of mind,no wonder those 6 figures bank account mean jack shit to her now.....

No I wonder her account is not that fat now,

Heard the don himself Mengi borrowed from the bank to go to Dubai hiyo juzi?

The bitch made our old man running on fumes ma nigga....

The bitch liquid wise is on her last legs mosdef!

Respect to Mengi,he is our hero and went with dignity and respect...

But this bitch's shady as fvck!

But I might be wrong too.....time will tell!
 
Muhaya kuwa mke wa mengi
Walitaka sifa kwa Jacky kuwa Muhaya au Muhaya kuwa mke wa Mengi? Sometimes mnakashifu Watu bila hata hoja za msingi. Watu wanatazama tu majina, yanaingiliana baadhi ya majina ya Kiha, Kihangaza, Kizinza, Kikerewe au Kijita na Wahaya
 
Mpaka kujiita K_Lyn tayar ashadhihirisha kuwa K ndo mpango mzima.
 
Back
Top Bottom