Wasifu wa Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au Klynn

Ameanzisha mradi ukubwa sawa ila chini ya kivuli cha mwanaume sasa nani atamuamini ni street fighter
 
Atachukiwa kwa kua Mengi amefia mikononi mwake..akili za binadamu ni kua amemuaa ili apate Mali,familia haijawahi mkubali huyu Dada na anaonekana ni gold digger...!!
 
Sasa mnatoa.wasifu wa Jacquue wakati huu wa msiba wa mumewe kwani naye amekufwa?!
 
Jamani watanzania tuacheni mambo ya kipumbavu kama haya ya kuchunguzana,hayo ni maisha yake binafsi,Kutoongezewa mshahara isiwe sababu ya kuwafuatilia wengine,
Nimecheka kifalaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwahiyo majamaaa hasira za kutokuongezewa mishahara wamehamishia kwa K- lyn
 
Kylin ni YATIMA.Labda ungeanza kuuliza kuwa mama yake na baba yake walikufa akiwa na umri gani.Labda hilo litakufanya uelewe kwa nini hakuendelea hadi kupata degree
Oooh ok ok
 
You want to kill someone bro. Reduce your angry
 
Muhaya kuwa mke wa mengi
Walitaka sifa kwa Jacky kuwa Muhaya au Muhaya kuwa mke wa Mengi? Sometimes mnakashifu Watu bila hata hoja za msingi. Watu wanatazama tu majina, yanaingiliana baadhi ya majina ya Kiha, Kihangaza, Kizinza, Kikerewe au Kijita na Wahaya
 
Kidhungu alijifunzia wapi kwani kimenyoooka hasa katika uandishi kwa IG au google search.
Atakuwa alisoma zaidi ya darasa la Saba mweh!
Kupachika caption insta si unacopy na kupaste tu au unaandikiwa tu....mbona wakina gigy money wana caption za kufa mtu na form IV hawajafika?
 
Mpaka kujiita K_Lyn tayar ashadhihirisha kuwa K ndo mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…