Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Lazima familia wamuone hivyo but walitaka baba yao awe mseja, mpweke mpaka lini?Atachukiwa kwa kua Mengi amefia mikononi mwake..akili za binadamu ni kua amemuaa ili apate Mali,familia haijawahi mkubali huyu Dada na anaonekana ni gold digger...!!
Unendelea kudhihirisha uchoko wako. Ni ushoga kuzungumzia/kujadili maisha ya mtu asiyekuhusu. Ni uchoko uliopitiliza kwa mwanaume kumuonea wivu mwanamke. Ndomana nakwambia wewe ni Sho.ga
Chuki tu na umasikini unakusumbua.
Sho.ga+
Punga we!
Mimi mwanzoni nilijua mwanamke anamuonea wivu mwanamke mwenzake
Dah kumbe dume! Kazi ipo kweli
Its funny pale mwanaume unapokua mnafiki kwa kupenda kuongea uongo ili uonekane eti huna wivu...
You weaklings go and take a hide...
If a bitch hoed,she hoed,I can't say otherwise!
You K-Lyn minions can eat my dick!
Mwanaume wa kweli huwez mzungumzia mwanamke namna ulivyomzungumzia wewe
Kuna namna fulani special sana ambayo wewe fdizzle ndio unaijua sisi wengine woote ni vyenge!?
Hebu nielezee kuna mahali gani nimesema uongo au nimemzulia uongo?
Nimetoa observations tu general,sasa nyie hamkuzipenda which is fine!
Nikuambie kitu mkuu
Mwanzoni wakati nasoma comment yako nilijua mdada baadae ukajitambulisha ni mkaka,basi tusameheane mkuu yaishe
Yaani inafikia hatua hadi raia wanatoa wasifu wako, duuuh namuonea huruma sana huyu mrembo.View attachment 1087566
Jacqueline Ntuyabaliwe (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 mwezi Disemba 1978 mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Ni Mwanamuziki , mfanyabiashara na aliwahi kushinda taji la malkia wa Urembo nchini Tanzania (2000).
Ni Mwanzilishi wa kampuni ya samani ilioshinda tuzo Amorette Ltd .
Babake alitoka kutoka eneo la Kigoma akiwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake huku mamake akiwa nesi.
Alisomea elimu yake ya msingi katika shule ya bweni ya Nyakahoja Primary mjini Mwanza kabla ya kuelekea mjini Dar es Salaam ambapo aliendelea na elimu yake ya msingi katika shule ya Forodhani.
Jackline ni msichana wa mwisho katika familia ya watoto watatu wa kike
Katika utoto wake alikuwa msichana mwenye haya jingi lakini alipendelea sana kusoma vitabu
Muziki
Alianza usanii 1997 akishirikiana na bendi ya Tanzania kwa jina the Tanzanites.
Aliimba kama mmojawapo wa viongozi kwa miaka mitatu.
Mnamo mwaka 2004 alitoa kibao chake 'Nalia kwa Furaha'.
Mwaka 2007 alitoa albamu nyengine kwa jina 'Crazy over You' ambacho kilikuwa kibao cha kwanza cha albamu yake mpya.
Anasema kwamba umaarufu wake ulianza alipoanza kuimba.
Kulingana na mjasiriamli huyo muziki ndio uliokuwa ndoto yake kubwa akiwa mtoto .
Alitizama kanda za video za wanamuziki tajika kama vile Mariah Carey na Whitney Houston ili kujifunza kuimba
Malkia wa urembo
2000 Alichaguliwa malkia wa Urembo nchini Tanzania baada ya kushinda taji la malkia wa urembo la miss Ilala.
Alitumikia taji la miss Tanzania kwa mwaka mmoja akizishughulikia jamii mbalimbali
Katika kushiriki katika shindano hilo alishawishiwa na mmoja wa waandalizi wa shindano hilo kujaribu bahati yake.
Katika shindano la dunia lililofanyika nchini Uingereza , alikutana na watu tofauti waliokuwa na malengo tofauti ambapo anadai kujifunza mambo mengi tofauti
Tuzo alizoshinda
2007: Alishinda tuzo ya mwanamuziki bora wa kike pamoja Tanzania na kolabo bora kupitia wimbo wake Crazy over you
2007: Alishinda tuzo ya Mwanamuziki bora kutoka Pearl Music Award
2008: Alishinda tuzo nyengine ya mwanamuziki bora wa Tanzania
2008: Alipata tuzo ya Mwanamuziki bora wa kike Tanzania kutoka Pearl Music Awards
2013: Alishinda taji la mwanamke mwenye mitindo bora katika tuzo za fesheni za Swahili
2017: Alijishindia tuzo ya shaba ya kimatifa kwa jina, Sayari amp,
2017: Alijishindia tuzo nyengine ya shaba katika orodha ya samani kwa jina Ngorongoro settee,
Ndoa
Mwaka 2015 alifunga ndoa na Bilionea wa Tanzania Reginald Mengi, na wamejaliwa watoto wawili wavulana .
Marehemu mumewe ni mwenyekiti wa makampuni ya IPP nchini Tanzania
BBC
Mmmm😂😂😂😂 bila shaka kazi inaenda poa??Naona kuna mashindano ya degree na la saba hapa
Hebu wenye elimu kubwa muambatanishe na acc zenu hapa
Na yeye wa la saba wekeni alichonacho
Kukariri kunawafanya wengi warande rande
Povu
Yaani nikifeli nakuja kukuombea visa mwenyeweMmmm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka kazi inaenda poa??
Umeona clip ya Rachel Temu?Lazima familia wamuone hivyo but walitaka baba yao awe mseja, mpweke mpaka lini?
Nimeiona lkn sijamuelewa huyo kichaa...nimeona anapitia mlemle kama mange alivyosema au?Umeona clip ya Rachel Temu?
Nimeiona lkn sijamuelewa huyo kichaa...nimeona anapitia mlemle kama mange alivyosema au?
Sijui kazipata wapi?Yaani dah sio kwa shutuma zile
Itakua kaambiwa!!!maana hayo mambo mi ya kifamilia na kwa namna ilivyo yaweza kua kweli watoto wa mzee Mengi hawakua wakimtaka kwa kua Jacky ni kama umri wao tu!!!Sijui kazipata wapi?
Siku hizi watu kama hao wanaitwa LGBT Mkuu, achana na jinga hilo. Mwanaume halisi hawezi kuwa namna hii, kuna tatizo mahala.Unendelea kudhihirisha uchoko wako. Ni ushoga kuzungumzia/kujadili maisha ya mtu asiyekuhusu. Ni uchoko uliopitiliza kwa mwanaume kumuonea wivu mwanamke. Ndomana nakwambia wewe ni Sho.ga
Wewe ni jinsia gani?Stop lies mzee
Umesikiliza wimbo lini toka 2003?
Acha unafiki!
Halafu it is funny mtu akiongea FACT hua mnamuita an wivu....?
Ngoja niseme uongo basi ili nisiwe na wivu!
Afrika tuna unafiki aisee....kiwango cha SGR!