Wasifu wa Jenerali Imran Kombe

Wasifu wa Jenerali Imran Kombe

Hivi pale Dstv kweli wamekosa kuwa na wasifu wake?
 
Pia alikuwa msomi mzuri kwa kipindi kile, nilisoma dessatation yake ya masters pale Udsm ni siku nyingi kidogo kama sikosei ilihusu mambo ya violence kipindi kile cha kupigania vita vya ukombozi kule Msumbiji
 
Ana nyumba maili 6 moshi na ndio huko huko walienda kummaliza mbele ya geti lake akishuka garini.
nilikuwa mdogo kipindi hicho ndugu wakaenda msibani mi nikabaki kuangalia katuni
Pale kwake tulikuwa tunaenda sana miaka hiyo
 
Vipi kuhusu ushawishi wake kwenye vyombo vya Usalama na medani za kisiasa??

Oooh sorry mr Malcom Lumumba for this late reply

Kombe alikuwa na ushawishi mkubwa sana jwtz na Usalama wa taifa kutokana na career yake, uwezo na ufanisi pamoja na akili nyingi mpaka kufikia katika ripoti zake za kijasusi CIA walimdescribe kama "Bright and hardworking''.

Ushawishi mkubwa jeshini ni kutokana senior command positions alizotumikia kwa weledi na umahiri nikianza ukamanda wake katika vita ya Kagera ambapo alikuwa ni mmoja kati ya makamanda wa Brigade waliofanya vizuri mpaka kupewa promotion kwenda cheo cha meja jenerali, alipata umaarufu huo mkubwa kwa jina la kamanda "ngono"

Sio hapo tu , miaka ya themanini Kombe alipewa madaraka ya chief of staff ambayo ni madaraka makubwa sana jeshini baada ya CDF, na hii ni akiwa na rank ya major general.

Alihamishiwa Usalama ambako huko nako alianza U DG akiwa na rank ya major General, hii ni baada ya kuwa mnadhimu mkuu JWTZ

Baada ya kufanya vizuri katika ukurugenzi TISS akapandishwa cheo kuwa Luteni jenerali, operations zimefanywa nyingi chini yake na kipindi pia nacho akiwa mkuu wa usalama kulikuwa na mambo mengi.Umaarufu wake ni mkubwa sana huko usalama kwani kawa mkuu wa usalama chini ya marais watatu(Nyerere, Mwinyi na Ben)

Kisiasa kwa kweli sidhani sana sababu makamanda wa weledi na siasa sawa na maji na mafuta isipokuwa wabishi kama Rtd Gen Mboma. Ila alipata umaarufu sana huko kwao Uchagani/kanda-hiyo labda hii political wise huko kwao huwaambii kitu, generally miaka hiyo(1990's) watu wazima wanaofuatilia mambo ya nchi hii hamna aliyekuwa hamjui au kutomkubali huyu General. Ila Kwa umaarufu na ushawishi huyu General Kombe ni zaidi ya zaidi
 
Mkuu nashukuru sana kwa hizi nondo zenye uhakika wa kipekee kabisa. Binafsi nimejifunza mengi sana na natumai wadau wengi watajifunza mengi pia kutoka kwenye hili andiko lako maana limejaa ushahidi wa kutosha. Ahsante sana Mkuu
 
Back
Top Bottom