Mbona CCM hawalalamiki kwamba msoma wasifu hajataja chama chochote? Kwani lazima kutaja chama?Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa.
CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli utabaki hivyo.
Je, huu ni wivu wa kisiasa wa CCM dhidi ya CHADEMA?
Kwahiyo ni fedheha kutaja kwamba marehemu aligombea urais kupitia Chadema? Kwamba ni sawa na kusema marehemu kafa kwa HIV?Ni kweli, hasa kama kitu chenyewe ni ukweli unaoumiza. Mfano mtu kafa kwa HIV, huwezi kuandika hata kama ni ukweli maana unaumiza na kutia fedheha. Lakini kutoandika ukweli hakuuondoi.
as a serious, visionary, responsible and professional politician, I do care...Who cares?
Ni wivu wa matyako waziSijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa.
CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli utabaki hivyo.
Je, huu ni wivu wa kisiasa wa CCM dhidi ya CHADEMA?
Amekanyaga waya Kamanda mbowe. Hanaga mambo ya hovyo kawapa za uso wazee wa jembe na nyundo.Ngoja tumsikie Mbowe anatoa salamu za pole muda sio mrefu!
Ndo maana huwa naamini ccm na upinzani wapo pamoja au ccm wanaijua siasa. Kama kweli ccm hawakutaka chadema itajwe kwanini wampe nafasi kiongozi wa chadema kuzungumza? Kama ilikuwa lazima azungumze kwanini wasiitaje chadema?Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa
Na yeye anayewauliza wenzake "huwa mnawahi wapi" AMEWAHI ku-comment sijui anawahi wapi?.Kuwa wa kwanza ku-post JF
Technology inahifadhi kumbukumbu vizuri sanaMi siongeiView attachment 2906907
Sio nguvu za social media hizo?Ndo maana huwa naamini ccm na upinzani wapo pamoja au ccm wanaijua siasa. Kama kweli ccm hawakutaka chadema itajwe kwanini wampe nafasi kiongozi wa chadema kuzungumza? Kama ilikuwa lazima azungumze kwanini wasiitaje chadema?
Inshort tushapewa hoja sasa tuishi humo. Ni rahisi tu 'usiitaje chadema kwenye wasifu wa marehemu halafu mbowe apewe nafasi aitaje mjadala uibuke tuendelee na mambo yetu mengine.
Ukiwa na jamii inayohoji mambo muhimu ni ngumu sana kutawala ila ukiwa na jamii inayohoji mambo yasiyo muhimu kazi yako ni kuwapo hizo hoja wazihoji halafu inakuwa rahisi kweli kutawala.
SureSio nguvu za social media hizo?