Hana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana.
Baba anayemjua ni Mama.
Sheria za kampuni wanakulazimisha kwenye ile terms of use (vigezo na masharti kuzingatiwa) kwamba ukishinda kampuni Ina hakimiliki kisheria kutumia hundi yako ya ushindi, picha zako pamoja na jina lako kufanyia promotion bila MALIPO, yaan unalipwa chako alafu kampuni inatumia jina na picha yako kuvuta wateja wengine sasa km ulikubariana na vigezo na masharti ukacheza ukashinda ukagoma wanakupeleka kwenye vigezo na masharti ya MCHEZO hapo ndio mtu anaachia jina anakubari kupigwa picha hundi inaonyeshwa na yeye anaonyeshwa kisha analipwa Pesa zake, hutaki kuonekana hutaki jina lako litangazwe acha pesa za kampuni maana unakiuka vigezo na masharti ya MCHEZOMkuu na wale wanaoshinda kiasi kikubwa na makampuni yanawalazimisha kukaa kwenye tv vipi
Mkuu ya mjomba kivipi hapo emu fafanua kwanza, kwa hio Mali za baba zinarithiwa na nani?Ndiyo maana Wazanaki mtoto harithi mali ya baba yake.
Mtoto anarithi mali ya mjomba.
Kizanaki mali za baba hazirithiwi na mtoto wake.Mkuu ya mjomba kivipi hapo emu fafanua kwanza, kwa hio Mali za baba zinarithiwa na nani?
Kwanini mnamficha Baba wa Rais , mbona Wajomba zake wa Oman tulionyeshwa ?Hana.
Ohooooo !!!Kizanaki mali za baba hazirithiwi na mtoto wake.
Kwa sababu bila DNA hatuna uhakika huyo ni mtoto wake kweli au alisaidiwa na jirani.
Mali za baba zinarithiwa na mtoto wa dada wa baba...
Kuna jamaa alipata hela kubwa tu tatizo aliwekwa kwenye tv, kwenye hii wiki alipata simu zaidi ya 50. Kutoka kwa ndugu, classmate,jamaa,marafiki,majirani na wafanyakazi wenziwe.Mkuu na wale wanaoshinda kiasi kikubwa na makampuni yanawalazimisha kukaa kwenye tv vipi
Si unaona ni ngumu ukiwa unafanya hayo mambo ukapiga kiasi kikubwaKuna jamaa alipata hela kubwa tu tatizo aliwekwa kwenye tv, kwenye hii wiki alipata simu zaidi ya 50. Kutoka kwa ndugu, classmate,jamaa,marafiki,majirani na wafanyakazi wenziwe.
Wengine hawajaongea miaka 20 nyuma, hela ni sumaku ya moyo
Kwa sababu mke wako kila aliposhika mimba alikuambia anamchukia sana jirani yako fulani wa kiume, lakini mimba zake hazikuwa na shobo na jirani zake wa kike.Jiulize kwanza kwa nini watoto wako wanafanana na jirani yako?. Au wewe mwenyewe kwa nini unafanana na jirani?
Great point bro! Huyu mama siju alitokea wapi hadi akawa mgombea mwenza 2015, maana hakuna aliyekuwa anamjua kabla ya hapo. It's about time people question her real (family) background, as it remains a mystery to many Tanzanians to date.Nchi imefika mahali, tunaweza kuwekewa pandikizi toka popote na akawa ndiye kiongozi wanchi.
Kama hali hiyo siyo ya kutisha, tuiite ni hali ya namna gani hiyo?
Sijasema popote kuwa aliyepo sasa ni pandikizi, lakini inawezekana, kwa sababu hatujui alitokea wapi hadi akafika alipo sasa.
Yawezekana kukosea spelling.Dah.. eti kama sijakosea.
Kwamba huna uhakika? Hahahaha
Hassan SuluhuTaja jina la Baba Samia?
Ingependeza mngewasiliana na ofisi ya mawasiano Ikulu, hapa JF mnaweza kupotoshwa bure.Nchi imefika mahali, tunaweza kuwekewa pandikizi toka popote na akawa ndiye kiongozi wanchi.
Kama hali hiyo siyo ya kutisha, tuiite ni hali ya namna gani hiyo?
Sijasema popote kuwa aliyepo sasa ni pandikizi, lakini inawezekana, kwa sababu hatujui alitokea wapi hadi akafika alipo sasa.
Tena mrundi ambae mama alimpa jina la bidhaa inauzwa kwenye vilabu....hatari sanaNdio maana tunaongozwa hata na warundi.....historia ya Raisi sio siri