Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU
 
Naona mambo ya kujadili huko Kenya yameisha mpaka wanaanza kuhangaika na ya kwetu.
 
Naona tumeshakubali sasa Polepole ameuwawa, tupo kjmya tunasubiri atekwe mwingine nae auwawe tumuachie Mungu.

Tuna tatizo serious. CCM itatutawala kwa miaka mingi sana ijayo.

Mpaka pale tutakapohamisha ujasiri wetu kutoka mitandaoni na kuupeleka mitaani.
 
Inasikitisha sana kwa jinsi Taifa letu linavyo zungumziwa nje ya nchi yetu.
View attachment 3641380
Screenshot_20251217-065939~2.png
Screenshot_20260531-133321~2.png
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Inasikitisha sana kwa jinsi Taifa letu linavyo zungumziwa nje ya nchi yetu.
1. Kama kuna jambo la kulisema,usipolisema wewe,then wenzako watakusemea kwa niaba yako

Vivyo hivyo,kama kuna kitu unatakiwa kufanya,usipofanya wewe,wenzako watakufanyia,

Hata ile issue ya kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga ile kitu,usipojitokeza kupiga,wenzako watajitokeza na kukupigia,kama ilivyotokea October 29,kuna watu hawakujitokeza kupiga,wakapigiwa!

Ila hawa jirani manyang'au, japo wanatusaidia kutusemea,lakini hawana wema na sisi,wanatusema mabaya tuu!.

P
 
Back
Top Bottom