Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

1. Kama kuna jambo la kulisema,usipolisema wewe,then wenzako watakusemea kwa niaba yako

Vivyo hivyo,kama kuna kitu unatakiwa kufanya,usipofanya wewe,wenzako watakufanyia,

Hata ile issue ya kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga ile kitu,usipojitokeza kupiga,wenzako watajitokeza na kukupigia,kama ilivyotokea October 29,kuna watu hawakujitokeza kupiga,wakapigiwa!

Ila hawa jirani manyang'au, japo wanatusaidia kutusemea,lakini hawana wema na sisi,wanatusema mabaya tuu!.

P
Nakubaliana na wewe kuwa hawa kina Onyango wanatusema sana tena kwa kebei sana utadhani wanatukomoa.
 
Aisee Sasa CCM wenyewe hawaoni kwamba themselves are unsafe?
 
We must accept the truth, Wakenya wako mbali kwenye uhuru wa vyombo vya habari na kutoa maoni.
 
Samia yupo Angola kwa majukumu ya kinchi, malofa nyie!
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom