Nakubaliana na wewe kuwa hawa kina Onyango wanatusema sana tena kwa kebei sana utadhani wanatukomoa.1. Kama kuna jambo la kulisema,usipolisema wewe,then wenzako watakusemea kwa niaba yako
Vivyo hivyo,kama kuna kitu unatakiwa kufanya,usipofanya wewe,wenzako watakufanyia,
Hata ile issue ya kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga ile kitu,usipojitokeza kupiga,wenzako watajitokeza na kukupigia,kama ilivyotokea October 29,kuna watu hawakujitokeza kupiga,wakapigiwa!
Ila hawa jirani manyang'au, japo wanatusaidia kutusemea,lakini hawana wema na sisi,wanatusema mabaya tuu!.
P
Kwani Wakenya wanazungumziaje kuhusu kupotea na kukutwa amefariki kwa kuchomwa moto Dk. Robert Auko? Waliishapata ufumbuzi wake? Ahay!!Inasikitisha sana kwa jinsi Taifa letu linavyo zungumziwa nje ya nchi yetu.
View attachment 3641380
Kwahiyo unafurahi watu kutekwa na kuuliwa?Naona mambo ya kujadili huko Kenya yameisha mpaka wanaanza kuhangaika na ya kwetu.
Mtaishia hivi hivi mapunga nyie
Samia yupo Angola kwa majukumu ya kinchi, malofa nyie!Mirembe ulitoka lini?
View attachment 3641749
Mfumo mbovu ndio unaleta headlineNaona mambo ya kujadili huko Kenya yameisha mpaka wanaanza kuhangaika na ya kwetu.
Jilan akianza kukujadili maana yake umeshidwa kuiendesha familia yakoNaona mambo ya kujadili huko Kenya yameisha mpaka wanaanza kuhangaika na ya kwetu.
Samia yupo Angola kwa majukumu ya kinchi, malofa nyie!
Ndo kilichobaki, hamna issues
Ndo kilichobaki, hamna issues