Uchaguzi 2020 Wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi dhambi mliyotenda itawamaliza pamoja na vizazi vyenu

Uchaguzi 2020 Wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi dhambi mliyotenda itawamaliza pamoja na vizazi vyenu

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo.

Daah!

Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya dhambi? Watendaji wa kata/vijiji inakuaje mnaamuru kura za upinzani ziharibiwe?

Nyie wasimamizi inakuaje mnashirikiana na watendaji kuingiza kura feki kwenye kituo cha kupigia kura? Ngoja nikanywe maji ili hasira zitulie nije niendelee!

Kwa kifupi kilicho fanyika ni UMAFIA!
 
Wasimamizi walifata ajira. Masuala ya haki ya Viongozi WA kitaifa
Tunao?
Yaani mkuu nimesikia waliyo fanya!! kwa kweli inauma daaah! Ila kama nchi bado safari yetu ni ndefu sana!
 
Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo! Daah!! Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya dhambi? Watendaji wa kata/vijiji inakuaje mnaamuru kura za upinzani ziharibiwe? Nyie wasimamizi inakuaje mnashirikiana na watendaji kuingiza kura feki kwenye kituo cha kupigia kura? Ngoja nikanywe maji ili hasira zitulie nije niendelee!!Kwa kifupi kilicho fanyika ni UMAFIA!
Nadhani this is too general, tusije tukawaingiza wasimamizi wote kwenye lawama hizi. Kwa jinsi nilivyosoma post na thread zao humu JF, wapo waliotekeleza, wapo waliokataa kutekeleza, na wapo ambao hawakupewa kabisa hayo maagizo. Kwa mantiki hiyo, inabidi lawama ziende specifically kwa wale tu waliopokea na kutekeleza.
 
Nadhani this is too general, tusije tukawaingiza wasimamizi wote kwenye lawama hizi. Kwa jinsi nilivyosoma post na thread zao humu JF, wapo waliotekeleza, wapo waliokataa kutekeleza, na wapo ambao hawakupewa kabisa hayo maagizo. Kwa mantiki hiyo, inabidi lawama ziende specifically kwa wale tu waliopokea na kutekeleza
Nimekuelewa mkuu lakini kama wanajijua walitenda haki basi automatically hii haiwahusu!

Ila bado watanzania tuna safari ndefu sana!
 
Watu wanafikiri definition ya demokrasia ni mpaka CHADEMA wachaguliwe
 
Unawaonea, lawama zote kwa aliyeagiza kifanywe kilichofanywa.

Ungekuwa wewe ungefanyeje?
 
Unawaonea, lawama zote kwa aliyeagiza kifanywe kilichofanywa.
Ungekuwa wewe ungefanyeje?
Unapoona kuna kitu una mashaka nacho una uhuru wa kuacha hata kama ni kazini! mpaka umekubali maana yake umeridhia!
 
Weka vitu.
Wazidi kuumbuka.
Wameze wateme hyo ni SHAURI yao.
 
Nchi ya kusadikika ule ni uchafuzi na aibu iwe juu yao hata vizazi na vizazi.
 
Uharibifu wote umefanyikia kwa wakurugezi sisi makapuku waalimu wenu tulio wengi hatujafanya huo umafia msitulaumu kabisa
 
Back
Top Bottom