Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Yaani mkuu nimesikia waliyo fanya!! kwa kweli inauma daaah! Ila kama nchi bado safari yetu ni ndefu sana!Wasimamizi walifata ajira. Masuala ya haki ya Viongozi WA kitaifa
Tunao?
Nadhani this is too general, tusije tukawaingiza wasimamizi wote kwenye lawama hizi. Kwa jinsi nilivyosoma post na thread zao humu JF, wapo waliotekeleza, wapo waliokataa kutekeleza, na wapo ambao hawakupewa kabisa hayo maagizo. Kwa mantiki hiyo, inabidi lawama ziende specifically kwa wale tu waliopokea na kutekeleza.Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo! Daah!! Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya dhambi? Watendaji wa kata/vijiji inakuaje mnaamuru kura za upinzani ziharibiwe? Nyie wasimamizi inakuaje mnashirikiana na watendaji kuingiza kura feki kwenye kituo cha kupigia kura? Ngoja nikanywe maji ili hasira zitulie nije niendelee!!Kwa kifupi kilicho fanyika ni UMAFIA!
Nimekuelewa mkuu lakini kama wanajijua walitenda haki basi automatically hii haiwahusu!Nadhani this is too general, tusije tukawaingiza wasimamizi wote kwenye lawama hizi. Kwa jinsi nilivyosoma post na thread zao humu JF, wapo waliotekeleza, wapo waliokataa kutekeleza, na wapo ambao hawakupewa kabisa hayo maagizo. Kwa mantiki hiyo, inabidi lawama ziende specifically kwa wale tu waliopokea na kutekeleza
Mkuu mambo ya utani tuweke pembeni. Na hamna sehemu nimeandika mambo ya demokrasia.Watu wanafikiri definition ya democrasia ni mpaka chadema wachaguliwe
Unapoona kuna kitu una mashaka nacho una uhuru wa kuacha hata kama ni kazini! mpaka umekubali maana yake umeridhia!Unawaonea, lawama zote kwa aliyeagiza kifanywe kilichofanywa.
Ungekuwa wewe ungefanyeje?
Watu wanafikiri definition ya democrasia ni mpaka chadema wachaguliwe
Ina uma sana mkuuNchi ya kusadikika ule ni uchafuzi na aibu iwe juu yao hata vizazi na vizazi.
Lakini haya sio maisha ni unyama....Yote maisha tu.