lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 319 Reaction score 648 Aug 31, 2025 #1 Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
Gurugurumee JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 702 Reaction score 1,236 Aug 31, 2025 #2 Angetumia Mahindra
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Aug 31, 2025 #3 View: https://www.facebook.com/share/v/1FAQYTtzSe/
M MAMDALI JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 355 Reaction score 663 Aug 31, 2025 #4 Mwaka huu sijasikia utafiti kuhusu kiwango ambacho CCM inaweza kushinda kwenye uchaguzi mkuu.
Don Masanja JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 1,136 Reaction score 1,118 Aug 31, 2025 #5 Mshana Jr said: View: https://www.facebook.com/share/v/1FAQYTtzSe/ Click to expand... Hii ni child abuse
Mshana Jr said: View: https://www.facebook.com/share/v/1FAQYTtzSe/ Click to expand... Hii ni child abuse
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,054 Reaction score 58,689 Aug 31, 2025 #6 Yaani mgombea wa uraisi anawahonga wagombea wenzake magari. LISU SHTUKA WEWEEE
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Aug 31, 2025 #7 Ila usiombe kuachwaaaaa jamani Attachments 20250831_160904.jpg 245 KB · Views: 30
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Aug 31, 2025 #8 MAMDALI said: Mwaka huu sijasikia utafiti kuhusu kiwango ambacho CCM inaweza kushinda kwenye uchaguzi mkuu. Click to expand... Kwa sababu TWAWEZA walifungiwa
MAMDALI said: Mwaka huu sijasikia utafiti kuhusu kiwango ambacho CCM inaweza kushinda kwenye uchaguzi mkuu. Click to expand... Kwa sababu TWAWEZA walifungiwa