Wasio na Akili nao wanaandaa Tamko lao la 'hovyo hovyo' Kupingana na Tamko la wenye Akili duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza.

Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua wa wana Friday na wana Sunday mkijidanganya kuwa mtaungwa mkono wakati ndiyo Mtapuuzwa zaidi.

Halafu mnapata wapi Nguvu ya Kujipanga Kuwajibu wenye Akili wakati nyie Wenyewe hadi #4 ( sasa Mstaafu ) mmesomea katika Shule zao na kupata Akili kidogo za Kuwawezesha angalau Kulitambua?

Na nimetaarifiwa kuwa Tamko lenu Msio na Akili kwa Makusudi mmepanga kulitoa Kesho Jumapili hivyo nami GENTAMYCINE nalisubiri nilione ili nithibitishe kuwa kweli Kichwani Hamnazo kabisa.

Litoeni mkale Pilau na Nyama sawa?
 
Tamko moja limetosha kubadili litimus paper ya kijani kwenda bluu
 
Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO
 
GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza.

Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua wa wana Friday na wana Sunday mkijidanganya kuwa mtaungwa mkono wakati ndiyo Mtapuuzwa zaidi.

Halafu mnapata wapi Nguvu ya Kujipanga Kuwajibu wenye Akili wakati nyie Wenyewe hadi #4 ( sasa Mstaafu ) mmesomea katika Shule zao na kupata Akili kidogo za Kuwawezesha angalau Kulitambua?

Na nimetaarifiwa kuwa Tamko lenu Msio na Akili kwa Makusudi mmepanga kulitoa Kesho Jumapili hivyo nami GENTAMYCINE nalisubiri nilione ili nithibitishe kuwa kweli Kichwani Hamnazo kabisa.

Litoeni mkale Pilau na Nyama sawa?
Asante.. sisi tusio na akili lazima tuoneshe namna tulivyo mazezeta 😒😒
Screenshot_20230819-111452.png
 
GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza.

Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua wa wana Friday na wana Sunday mkijidanganya kuwa mtaungwa mkono wakati ndiyo Mtapuuzwa zaidi.

Halafu mnapata wapi Nguvu ya Kujipanga Kuwajibu wenye Akili wakati nyie Wenyewe hadi #4 ( sasa Mstaafu ) mmesomea katika Shule zao na kupata Akili kidogo za Kuwawezesha angalau Kulitambua?

Na nimetaarifiwa kuwa Tamko lenu Msio na Akili kwa Makusudi mmepanga kulitoa Kesho Jumapili hivyo nami GENTAMYCINE nalisubiri nilione ili nithibitishe kuwa kweli Kichwani Hamnazo kabisa.

Litoeni mkale Pilau na Nyama sawa?
Wao wakatoliki Martin Luther tu aliwakalisha itakuwa CCM, hao walevi ni wapuuzi tu hakuna la maana

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Wale hawajawahi kumiliki akili wataandika hoja gani zaidi ya kuandika jazba na munkari ulijaa hisia za kidini tu? Hao wenye akili wemeshusha nondo zilizoshiba hoja mpaka na vifungu vya sheria/katiba. Imetoka hiyo, wengine wakitoa kinyume na hapo ni abrakadabra tu za kidini na siasa za matango pori
 
WALE WA MWANZO NAONA WANAZIDIWA AKILI NA MAARIFA NAHAO AMBAO BADA HAWAJATOA TAMKO LAO.THEY ARE SO POWERFUL.
 
GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza.

Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua wa wana Friday na wana Sunday mkijidanganya kuwa mtaungwa mkono wakati ndiyo Mtapuuzwa zaidi.

Halafu mnapata wapi Nguvu ya Kujipanga Kuwajibu wenye Akili wakati nyie Wenyewe hadi #4 ( sasa Mstaafu ) mmesomea katika Shule zao na kupata Akili kidogo za Kuwawezesha angalau Kulitambua?

Na nimetaarifiwa kuwa Tamko lenu Msio na Akili kwa Makusudi mmepanga kulitoa Kesho Jumapili hivyo nami GENTAMYCINE nalisubiri nilione ili nithibitishe kuwa kweli Kichwani Hamnazo kabisa.

Litoeni mkale Pilau na Nyama sawa?

Naona kama ww ndio huna akili kwanza unapata wapi kuzungumzia mambo yaso kuhusu we si mnyalu au
 
Anaesema hiv ni muumini wa Dini ambayo inasema Mungu aliwatuma maria na yusuph wakimbie na yesu asije akauliwa ambae yesu ni Mungu. Alaf anadai na yeye ana akili
Stupidity.
 
GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza.

Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua wa wana Friday na wana Sunday mkijidanganya kuwa mtaungwa mkono wakati ndiyo Mtapuuzwa zaidi.

Halafu mnapata wapi Nguvu ya Kujipanga Kuwajibu wenye Akili wakati nyie Wenyewe hadi #4 ( sasa Mstaafu ) mmesomea katika Shule zao na kupata Akili kidogo za Kuwawezesha angalau Kulitambua?

Na nimetaarifiwa kuwa Tamko lenu Msio na Akili kwa Makusudi mmepanga kulitoa Kesho Jumapili hivyo nami GENTAMYCINE nalisubiri nilione ili nithibitishe kuwa kweli Kichwani Hamnazo kabisa.

Litoeni mkale Pilau na Nyama sawa?
Shida ni ccm matamko hayana tija
 
Back
Top Bottom