Wasio na Akili nao wanaandaa Tamko lao la 'hovyo hovyo' Kupingana na Tamko la wenye Akili duniani

Mwenye akili hapigi goti mbele ya sanamu alilochonga kwa mikono yake Kisha akaliomba
 
Poti Genta, umeongea na umeeleweka sana kuhusu akili kubwa na ndogo. Ndo watu anavyotaka kutapatapa namna hii. Ni hatari sana. Tunataka nchi yenye amani, kama mwenzetu anakosea aombe msamaha na si kupigana kwa maneno.
 
Kwenye huo msururu wako ondoa: Wabunge, maHakimu na maPolisi.

Kada hizo bila ya kujali ama kuangalia dini zao ndiyo walitaka kuliingiza Taifa kwenye machafuko.

Wabunge:... Dp world "ndiyoooooooo 👏👏👏👏"

Majaji: "vipengele katika vifungu kadhaa vya mkataba ni vibovu tutalishauri bunge livirekebishe na hatuwezi kuingilia muhimili wa Bunge"!

Mapolisi(Igp)..."kuna watu wanataka kuipindua Serikali"

Sasa kuna watu wana dini na hofu ya Mungu hapo?

Nchi inapoingia kwenye mtanziko kama huu, tulitegemea taasisi kama hizo sasa zitumie taaluma zao kuliponya Taifa, badala yake wote wamekuwa ni machawa wa ridhaa, bila ya soni ama haya nyusoni mwao tena bila kujali impact ya maamuzi yao ya hovyo kwa Taifa!
 
Acha uoga tuliaaaaa mbona bado sana unaanza kupaparika
 
Movie la kijasusi kabisa hili Mimi nipo Kona na popukoni huku nikishuhudia mnyukano
 
Utashangaa utawaona wale bongo movie na waimba singeli na watangazaji wapiga kelele hapo
Ndiyo wanatoa tamko [emoji1]

Ova
 
GENTAMYCINE sisi sayansi yetu imeishia pale ambapo jua linazama matopeni
 
Anaesema hiv ni muumini wa Dini ambayo inasema Mungu aliwatuma maria na yusuph wakimbie na yesu asije akauliwa ambae yesu ni Mungu. Alaf anadai na yeye ana akili
"tunae Mama yake Mungu , daima atuombea kwa mwanae(Yesu kristo)".
Tunakimbilia ulinzi wako mzazi mtakatifu wa Mungu usitunyime tukiomba katika shida zetu, tuoke siku zote kila tuingia hatarini Eeh Bikra mtukufu na mwenye Baraka, Amina.
 
Uzuri ni kwamba..wino ulishanwagwa tayari.

Na hakuna wa kumzuiya mjukuu wa mudy kuchukua salt water.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…