The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Nani alioina ikiumbwa? Kwani kila kitu lazima kiumbwe.
Mbona vitu vingine vinaweza kuzuka? Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu lazima kiumbwe kwa vile mnaamini katika ujinga huu.
Kuna vitu hatujui na hatutaki kukiri kuwa hatujui bali kujitia kujua jua kwa kujificha nyuma ya Mungu ambaye aligoma kabisa kuongea nasi hadi tunachukua maandishi ya wahuni na kuyaita maneno ya Mungu.
Huwa nacheka ninaposoma barua za akina Paulo au hadithi za akina Bukhari. Yaani, Mungu kama angekuwa kama tunavyoaminishwa, angeshindwa hata siku moja kufanya kitu hadi wote tukakubali?
Mie nakiri kuwa kuna vitu vingi hatuvijui ndiyo maana kila siku tunavigundua au kuvijua. Hivyo, kutumia imani ya kuumba na Mungu ni ubishi wa kutokubali kujua na kujifanya tunajua wakati hatuji.
Napiga kelele kimya kimya.