The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwanza naunga mkono hoja kuna vitu vingi hatuvijui kuhusu uumbaji Mungu na shetani ila usiite Imani za watu ni ujinga Post in thread 'Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake' Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yakeKuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu lazima kiumbwe kwa vile mnaamini katika ujinga huu.
Mie nakiri kuwa kuna vitu vingi hatuvijui ndiyo maana kila siku tunavigundua au kuvijua. Hivyo, kutumia imani ya kuumba na Mungu ni ubishi wa kutokubali kujua na kujifanya tunajua wakati hatuji
Nakubaliana nawe ila usitulazimishe kumchukulia huyo Mungu wako kama unavyomchukulia kwa imani ila siyo welewa.Kwanza naunga mkono hoja kuna vitu vingi hatuvijui kuhusu uumbaji Mungu na shetani ila usiite Imani za watu ni ujinga Post in thread 'Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake' Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake
P