Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fafanua kidogo hapa huo utaratibu wa kulipa kupitia control namba kuna namna unaweza kulipia onlineKuna mfumo wa kulipa kupitia control namba, Hili la kuongeza masaa ya kazi mpaka saa mbili ni kwavile watanzania wengi hawana elimu ya haya mambo, hivyo itawalazimu waende kucheki records na kupewa taratibu za kufanya hayo malipo
Luku ni koji ya majengo, ardhi ina kodi yake hata kama hujajengaKwani now si wanataka kwa malipo ya Luku au inakuje?
Wizara inaendesha ki hoe hae na wakati waziri wake ni msomiUgumu unaanzia pale unapotakiwa ukapange foleni huko maofisini wafanye namna hata kulipia kwa njia ya mtandao watu wengine wako mbali wengine majukumu yanabana
Yani ubabe ubabe tu sasa mtu umepanga lakini unalipia kodi ya jengo kupitia luku.Luku ni koji ya majengo, ardhi ina kodi yake hata kama hujajenga
Wajanja sana maana wanajua watapata multiple effects maana kama jengo moja la apartments lenye nyumba let say 4 linatakiwa lilipe kodi moja tu, ila through luku linalipa kodi nne assume kila apartment ina luku yake.Yani ubabe ubabe tu sasa mtu umepanga lakini unalipia kodi ya jengo kupitia luku.
Nchi inaendeshwa kijanja janja sana hii...nchi ngumu sana hiiWajanja sana maana wanajua watapata multiple effects maana kama jengo moja la apartments lenye nyumba let say 4 linatakiwa lilipe kodi moja tu, ila through luku linalipa kodi nne assume kila apartment ina luku yake.
Same technique wameitumia kwenye road license ambayo ilikua kwa watumia barabara, ila ikaondolewa na kuweka kwenye matuta na kufanya hata wasiotumia barabara walipie indirectly.