Dr Slaa - Karatu
Hussein Mwingi sii nasikia anaandaliwa kuwa Presidaaa Visiwani??
Ila I just like the Guy! Wala sijui kwa nini!!
Bill said:Unataka Anne Kilango ayabebe hayo maendeleo kichwani ayapeleke? Ikiwa Fisadi Yona hakuweza ataweza Kilango ndani ya miaka 5 na kwa namna gani...
Mkukuti said:Kwani mshahara wake kama mbunge ni kiasi gani. Jaribu kuchukua mshahara wake na marupu rupu pamoja na kiinua mgongo chake, then tuone kama utaweza kutatua taizo moja tu la kijamii ulilolioredhesha hapo juu.
Lakini kinyume cha hapo, ukichukua bilioni 40 za KAGODA na ukaziwekeza kutatua matatizo ya kijamii kwenye jimbo la mama Kilango, basi matatizo hayo yatakuwa historia. Ndio maana nadhani, mama Kilango amewekeza nguvu nyingi kupambana na ufisadi, akijua kuwa pesa zinazopotea huko ni nyingi na zinaweza kutatua matazo yote ya kijamii, kuliko akiba yake ambayo pengine haiwezi kulisha familia yake mwenyewe kwa mwaka mzima.
We! Akikusikia Shamhuna!Hussein Mwingi sii nasikia anaandaliwa kuwa Presidaaa Visiwani??
We! Akikusikia Shamhuna!
Dr Slaa - Karatu
Magere Masatu Nyafuru - Mwibara, siyo mbunge kwa sasa lakini ameshachukua pesa kwa Rostam Aziz ili agombee 2010.
- Majungu matupu wasirudi ili aingie nani, wewe? Yaaani sasa mnaweza kuwachagulia wananchi nani aongoze majimbo yao? Acheni majungu haya, wananchi wa majimbo ndio wanajua nani anawafaa, labda muongelee majimbo yenu ambayo huwa mnapigia kura, kama kweli huwa mnapiga kura!
- Halafu mtutajie wabunge wanaofaa na walichofanya!
FMEs!
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
hata kama hakuyakuta lakini yeye kama mbunge ilikuwakazi yake KUYALETA ! so, anna kilango nae hafai pia !Ni yeye ndio alisababisha maendeleo kutokuwepo au naye alikuta maendeleo hakuna?
FisadiNyangumi
Join Date: Mon May 2009
Posts: 5
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Mazee karibu sana kwa jina jipya....