Huku kwetu Kawe mi nataka aje Mheshimiwa Mdee.......🙂Na iwe kweli mana imetosha,kaburuza sana!!!..Baibai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu Kawe mi nataka aje Mheshimiwa Mdee.......🙂Na iwe kweli mana imetosha,kaburuza sana!!!..Baibai
- Ungekwua unawajali wananchi wa Mtera, basi usingekwua na chuki na huyu mzee, acha ubinafsi, halafu naomba tutajie mbunge anayefaa?
FMES!
Mndee, Kule kwetu Digoni tutakuita Mvyee,Sijui unamsema Mbunge yupi wa Tanga,Kwa sababu Tanga kama Mkoa una Majimbo ya Uchaguzi 11.Kuna baadhi ya Wabunge wamekwishakuwa Wazee mno,nafikiri hawapaswi kurudi katika Bunge la November 2010.Wabunge wazee na ambao sidhani kama ni vyema kurudi Bungeni kutokana na Umri wao ni;
1: Bakari Mwapachu (Tanga Mjini).
2: Abdi Mshangama ( Lushoto).
3: William Shelukindo ( Bumbuli ).
4: Brig.Gen Hassan Ngwilizi (Mlalo).
Huku kwetu Kawe mi nataka aje Mheshimiwa Mdee.......🙂
Tuongeze na wabunge wote waliopo NEC. Kuwataja tu haitoshi. Ukiweza kumbadilisha japo mtu mmoja tu kutokuchagua CCM, utakuwa umesaidia mapambano haya.
John Samwel Malecela--Mzee umri umeenda sana jamani,apumzike tu awaachie vijana akina William Malecela,Livingstone Lusinde na Hoya(mmiliki wa mabasi na mabucha ya Mshikamano) wapambane kupata nafasi ya kugombea ubunge wa Mtera.Ni vizuri mzee yeye akabaki kuwa mshauri tu ndani ya chama....Pia wazee wengine kama akina Mzindakaya,Kingunge Ngombare Mwiru,Kusila,Makweta,Shelukindo,Galinoma,Lubeleje,Degera n.k wapumzike wawaachie vijana nafasi sasa,maana tumewaona wakiwa wabunge kwa kipindi kirefu sana na hakuna mabadiliko yoyote tunayoyaona katika majimbo yao...Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
Hivi hakuna wabunge wa upinzani wasiofaa?
Ni vijimambo tu mkuu...Pa1Bia umekunywa moja,Supu ya nini?
He he hee. Balantanda, wengine tukinywa bia moja tunakua tilalila, ndiyo maana twanywa supu....lol...
yah man Jumanne Malecela zama zake zimekwisha kwa kweli....lakini no no noo huyo mtotoe hafai hata chembe......John Samwel Malecela--Mzee umri umeenda sana jamani,apumzike tu awaachie vijana akina William Malecela,Livingstone Lusinde na Hoya(mmiliki wa mabasi na mabucha ya Mshikamano) wapambane kupata nafasi ya kugombea ubunge wa Mtera.Ni vizuri mzee yeye akabaki kuwa mshauri tu ndani ya chama....Pia wazee wengine kama akina Mzindakaya,Kingunge Ngombare Mwiru,Kusila,Makweta,Shelukindo,Galinoma,Lubeleje,Degera n.k wapumzike wawaachie vijana nafasi sasa,maana tumewaona wakiwa wabunge kwa kipindi kirefu sana na hakuna mabadiliko yoyote tunayoyaona katika majimbo yao...
John Samwel Malecela--Mzee umri umeenda sana jamani,apumzike tu awaachie vijana akina William Malecela,Livingstone Lusinde na Hoya(mmiliki wa mabasi na mabucha ya Mshikamano) wapambane kupata nafasi ya kugombea ubunge wa Mtera.Ni vizuri mzee yeye akabaki kuwa mshauri tu ndani ya chama....Pia wazee wengine kama akina Mzindakaya,Kingunge Ngombare Mwiru,Kusila,Makweta,Shelukindo,Galinoma,Lubeleje,Degera n.k wapumzike wawaachie vijana nafasi sasa,maana tumewaona wakiwa wabunge kwa kipindi kirefu sana na hakuna mabadiliko yoyote tunayoyaona katika majimbo yao...