Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Jina la Mbunge:CHARLES KEENJA
Jimbo lake:UBUNGO
Chama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):MIAKA 10?
Sababu za kukataa kurudi kwake:SIJUI AHT HUKO BUNGENI ANAFANYA NINI.JIMBONI HATUMUONI...POSHO ANAKULA
 
Jina la mbunge: Felex Mrema.
Jimbo:Arusha mjini.
Muda aliokaa bungeni:Miaka 19.
Sababu za kukataa kurudi kwake:
Hana mchango wowote wa maendeleo jimboni.
Alishindwa kukemea uongozi mbovu General Tyre,ata alipopelekewa data za ubadhirifu.
Anajishughulisha sana na biashara yake ya maua.
Muda mwingi anakwenda marekani aliko mke wake wa pili na kuliacha jimbo mikononi mwa msaidizi wake
.
 
JIna:Wabunge wote mabubu toka CCM
Jimbo: Tanzania na Maskini wote
Sababu ya Kukataa: Kutetea mafisadi na wezi wa rasilimali zetu kwa ajili kwa ajili ya Taifa letu
 
thnks guys...am taking stock now...naomba tusijumuishe tuwataje mmoja mmoja ila tuwasilishe sababu hizi kwa wapiga kura
 
Jina la Mbunge: John Komba
Jimbo lake: Mbinga Magharibi
Chama Chake: Chama cha Majambazi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Haelewiki anaunga mkono upande upi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Mbinga-Songea.
-Angalia maisha ya watu Mbinga yalivyo ya hovyo.
-Ananenepa sana, wananchi wake wanakonda sana.
-Mafia (Ukimpinga anakumaliza kama ilivyotokea kwa mwandishi(...) wa Mbiga mjini aliyetaka kumgonga na gari.
-Haongei lolote Bungeni, anasubiri zaidi muda wa Luch, Dinner na kuelekea Club La Azizi au pale sebuleni kwao 84 Night Club
-Anakunywa sana konyagi.
 
-Anakunywa sana konyag
i.

Ha ha haaa mkubwa umeniacha hoi...nasikia hata gari kuendesha hawezi maana tumbo linablock steering wheel isizunguke....waist size 80
 
thnks guys...am taking stock now...naomba tusijumuishe tuwataje mmoja mmoja ila tuwasilishe sababu hizi kwa wapiga kura

kuna situation zingine huwezi kuzitenga

JIna:Wabunge wote mabubu toka CCM
Jimbo: Tanzania na Maskini wote
Sababu ya Kukataa: Kutetea mafisadi na wezi wa rasilimali zetu kwa ajili kwa ajili ya Taifa letu

JIna:Wabunge wote wa viti maalum
Jimbo: halijulikani
Sababu ya Kukataa: hakuna watu maalum tanzania
 
Jina la Mbunge: John Komba
Jimbo lake: Mbinga Magharibi
Chama Chake: Chama cha Majambazi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Haelewiki anaunga mkono upande upi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Mbinga-Songea.
-Angalia maisha ya watu Mbinga yalivyo ya hovyo.
-Ananenepa sana, wananchi wake wanakonda sana.
-Mafia (Ukimpinga anakumaliza kama ilivyotokea kwa mwandishi(...) wa Mbiga mjini aliyetaka kumgonga na gari.
-Haongei lolote Bungeni, anasubiri zaidi muda wa Luch, Dinner na kuelekea Club La Azizi au pale sebuleni kwao 84 Night Club
-Anakunywa sana konyagi.

Heshima kwako Peter Tosh,

Huyu jamaa anaunga mkono mafisadi.Niliwahi kusikia kwenye kikao cha NEC alikuwa msatari wa mbele kumsulubu Speaker Sitta alipendekeza atimuliwe
.
 
Jina la Mbunge:RITA MLAKI
Jimbo lake:KWEChama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Vipindi viwili
Sababu za kukataa kurudi kwake:
- HACHANGII ISSUES BUNGENI
-Hatembelei wapiga kura
- Barabara mbovu
- Huduma za hospitali kwa walalahoi ni shida
- Foleni za barabarani asubuhi na jioni ni kero kubwa
- Inasemekana anachangia kusua kwa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya tanki bovu na club ya rainbow
 
this time MAKWETA anapaswa kuniachia jimbo
 
Mgombea,
Hapo uko sahihi...hatuhitaji viti maalum..kwa umaalumu upi...mbona kwenye ajira na mambo mengine kama kulipa kodi,bishara hakuna umaalum?
 
kuna situation zingine huwezi kuzitenga

JIna:Wabunge wote wa viti maalum
Jimbo: halijulikani
Sababu ya Kukataa: hakuna watu maalum tanzania

Pia haijulikani wanamwakilisha nani. Hata wa Kuteuliwa akina kingunge, wote waondoke
 
this time MAKWETA anapaswa kuniachia jimbo

Rukwa wanashukuru (hata Pinda) Mzindakaya na kimiti wameachia. inawezekana mzee makweta hakuwahi kuwa fisadi ndiyo maana anang'ng'ania. Hana hazina ya pesa za kula akiwa nje ya system.
 
Muhimu pia katiba ibadilishwe Rais asiteue Cabinet toka bungeni,ateue watu wake nje ya bunge halafu alete bungeni wapitishwe...kama Karzai vile
 
Jina la Mbunge: Castor Ligallama
Jimbo lake: Kilombero

Chama Chake: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake: 1. Ameshindwa kutuletea Maendeleo wananchi wa Kilombero.2. Bungeni pia ni mkimya sana.3. hauziki 4.Tunataka Mbunge wa Upinzani
 
Jina la mbunge: Felex Mrema.
Jimbo:Arusha mjini.
Muda aliokaa bungeni:Miaka 19.
Sababu za kukataa kurudi kwake:
Hana mchango wowote wa maendeleo jimboni.
Alishindwa kukemea uongozi mbovu General Tyre,ata alipopelekewa data za ubadhirifu.
Anajishughulisha sana na biashara yake ya maua.
Muda mwingi anakwenda marekani aliko mke wake wa pili na kuliacha jimbo mikononi mwa msaidizi wake.

Miaka 19 !!!! mshangao watu watazeekea huko Bungeni
 
Jina la Mbunge: Castor Ligallama
Jimbo lake: Kilombero

Chama Chake: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake: 1. Ameshindwa kutuletea Maendeleo wananchi wa Kilombero.2. Bungeni pia ni mkimya sana.3. hauziki 4.Tunataka Mbunge wa Upinzani

Yaani huyu jamaa hata jina lake nilikuwa silijui....Mnataka kumpa Abdul Mteketa nasikia....nilimkuta juzi pale Mbega Resort kwa Balozi Mpungwe
 
Jina: Andrew Chenge
Jimbo: Bariadi Magharibi
Chama: CCM

Sababu:
- Ni fisadi anashiriki kuiba pesa za watanzania.
- Hana mchango bungeni, hata kutetea matatizo ya wananchi wake.
- Hakuna alichofanya jimboni zaidi akienda ni kuhonga wananchi kwa kuwanunulia pombe tu wananchi na kuchinja ng'ombe ili wale na kunywa.
- Hajaleta maendeleo yoyote e.g Barabara mbovu masika zinapitika kwa shida, kuhusu afya ndo usiseme, maji wananchi wanakunywa maji ya kwenye mito wanachangia na ng'ombe na mbuzi. Kilimo ndo usiseme hawezi kuhamasisha wananchi kilimo cha kisasa. Ukweli jamaa yuko chini hata kuhamasisha wananchi katika shughuli za maendeleo hakuna
- Muda wote yuko dar. Hawafai wananchi wa bariadi kabisa anachangia wananchi kuwa masikini
 
Back
Top Bottom