Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

I second you on this one!....Makweta been on the system toka miye nazaliwa namsikia...it's time for a change kwa kweli....
kama ni hivyo tupange mikakati mama!uniachie miaka kumi ya sasa wewe utaendelea nalo
 
Makweta(since 1970)...Karume(father) still presides in Zanzibar
Mzindakaya(since 1968)..man landing in moon for first time,Neil Armstrong

Masha(born 1968) now minister,his father an MP until thrownout in 1968
Ngeleja(born 1967) now minister....these facts!!!
 
kama ni hivyo tupange mikakati mama!uniachie miaka kumi ya sasa wewe utaendelea nalo

No doubt on that!...Kumbe wewe wakunyumba kabisa alafu ukawa unaniletea kokolo....watu tupo jimbo moja na tunatawaliwa na huyu mzee toka miaka nenda rudi how come?....inakuwa kama hakuna watu wa kumuondoa siju ana sumu gani huyu mzee!.....
 
Jina: Fuya Godwin Kimbita
Jimbo: Hai
Chama: Chama Cha Mafisadi (ccm)

Sababu
Ni domo zege bungeni, hawatetei wananchi wake, haonekani jimboni.
 
Ndugu Wananchi,

Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi si vibaya tukaelimishana au kutaarifiana wabunge wasiostahili kurudi bungeni.Tutende haki katika hili na kwa mtazamo wangu tueleze:

Jina la Mbunge:Jackson Makweta
Jimbo lake:Njombe Magharibi
Chama Chake:Chama Cha Mafisadi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please) Kutokea siku ya kwanza namsikia alikuwa Mbung, sikumbuki vizuri lakini late 80's
Sababu za kukataa kurudi kwake: Amechoka kiumri na anatakiwa akapimwe akili Jamaica kama bosi wake.
 
Jina: Diodorus Kamara
Jimbo: Nkenge
Muda: Miaka 20
Sababu: Hajafanya chochote Jimboni, barabara mbovu, huduma duni, pale Mutukula upande wa Uganda kuna Umeme, Tz vibatari na makoroboi, wakati nyaya za umeme zinapita tu juu. Anapenda sana vimwana huyooo!!!!
 
Ndugu Wananchi,

Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi si vibaya tukaelimishana au kutaarifiana wabunge wasiostahili kurudi bungeni.Tutende haki katika hili na kwa mtazamo wangu tueleze:

Jina la Mbunge:Jackson Makweta
Jimbo lake:Njombe Magharibi
Chama Chake:Chama Cha Mafisadi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please) Kutokea siku ya kwanza namsikia alikuwa Mbung, sikumbuki vizuri lakini late 80's
Sababu za kukataa kurudi kwake: Amechoka kiumri na anatakiwa akapimwe akili Jamaica kama bosi wake.

Hapo kwenye bold hiyo ni tusi bana...utasemake mtu anapimwe akili banaaa.....Ndiyo hata mimi namkana ila siyo kwa namna hiyo.....

kwanza ulivyosema kiumri...kwani limit na kuwa mbunge ni miaka mingapi?...Miye hata awe na miaka mingapi kama analeta maendeleo jimboni powaa tuu ila kwa Makweta sioni maendeleo yeyote kila siku ni mambo yale yale tuu...ndiyo maana inabidi watu wachangamke this time....
 
Hivi wale 10 Kapu la JK ni kina nani?Njua hawa:1)Sophia SIMBA;2)Yusufu MAKAMBA;3)Apson MWANG'ONDA;4)K.N.MWIRU;5-10)?????? hawa pia hiwatakiwi
 
The 2005 General Elections produced the following numbers:

1. Members elected from the same number of constituencies 232
2. Special seats women members 75
3. Members elected by the Zanzibar House of Representatives 5
4. Attorney General 1
5. Members appointed by the President 10
Grand Total 323
 
No doubt on that!...Kumbe wewe wakunyumba kabisa alafu ukawa unaniletea kokolo....watu tupo jimbo moja na tunatawaliwa na huyu mzee toka miaka nenda rudi how come?....inakuwa kama hakuna watu wa kumuondoa siju ana sumu gani huyu mzee!.....
yeah!ile ni njia mojawapo ya kufahamiana!tuachane na hilo,
ni-piemu namba zako nitakupigia kwa mazungumzo zaidi.......

huyu mzee ni lazima aondoke.nahitaji jimbo lile
 
kama hao wabunge wanasoma au kama kuna ndugu zao, marafiki zao na wasaidizi wanapita humu jf wawaambia hao wabunge waliotajwa kama wanaona wameonewa waje humu kujitetea.
 
Jina la Mbunge: Bibi Estherina Kilasi

Jimbo: Mbarali
Muda bungeni: Miaka 10
Sababu: hana mchango wowote bungeni na jimboni kwake
tangu alipolipokea jimbo mpaka leo hakuna lolote alilofanya

Mbarali ina misukosuko mingi na yeye yupo hatuoni anafanya nini kuhakikisha anatatua matatizo

Hasikiki bungeni akisema kuhusu jimbo lake! Yuko kimya mno na analikumbuka jimbo wakati wa uchaguzi
 
Ngoja mie nichangie kama niko Bungeni vile:

1. Kwa kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi, na

2. Kwa kuwa wanatakiwa kuwa wamechaguliwa na wananchi, na

3. Kwa hiyo inapaswa Wabunge wachaguliwe moja kwa moja na wananchi.
Wabunge wa viti maalum ufutwe, hauhitajiki. Pia ubunge kwa kuteuliwa na Rais ufutwe(hapa wamo Sophia Simba, Makamba , Kingunge etc). Hii ni mizigo tu kwa walipa kodi, na hawamuwakilishi yeyote. Ni deal za kupeana ulaji tu.

4. Kwa kuwa mbunge mmoja anamgharimu mlipa kodi kiasi kikubwa sana kwa matumizi yakwe (mbunge), idadi ya majimbo ingepunguzwa hadi yabaki 150 tu. Hii ukiongeza wale 5 kutoka Baraza la wawakilishi Z'bar na Attorney General, tuwe na Wabunge 156 tu. Hawa wanatosha sana tu.

Kifupi ni kuwa wabunge ambao ni wapambe wa mafisadi EL na RA ndio wang'olewe (Wakiwemo wenyewe EL na RA) pamoja na wezi wenzao akina Chenge, na wapambe wao akina Makamba, Kingunge, Mahanga etc.,

Naomba kuwasilisha...
 
Jina la Mbunge:RITA MLAKI
Jimbo lake:KWEChama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Vipindi viwili
Sababu za kukataa kurudi kwake:
- HACHANGII ISSUES BUNGENI
-Hatembelei wapiga kura
- Barabara mbovu
- Huduma za hospitali kwa walalahoi ni shida
- Foleni za barabarani asubuhi na jioni ni kero kubwa
- Inasemekana anachangia kusua kwa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya tanki bovu na club ya rainbow
..

Tena Kicheruka huyu mama Rita Mlaki kwa maoni yangu licha ya kutorudi bungeni anatakiwa hata huko CCM kwao wam-demote kamisa. yeye anaendekeza majungu tu kwenye uchaguzi 2005 alisema kwa kuwa wakazi wa eneo la makongo juu hawakumpa kura basi wasitegemee lolote la maendeleo. Mpaka leo makongo juu barabara nimbovu huwezi kuamini kama uko Dar, maji hakuna licha ya wachina kuchimbia mabomba yao yako pale kama picha tu hajawahi kutembelea hilo eneo hata mara moja. Simpendi kabisa amekaa ki-jasiriamali zaidi kila kukicha n promotion za Neema High School basi hakuna kazi nyingine!
 
jina la mbunge:hafidh ali tahir
jimbo lake:maungani
chama chake:ccm
muda aliokaa bungeni:1 term
sababu za kukatalika kwake hana jipya bora arudi urefaree kama cambell alivyorudi arsenal.
mtupu kichwani hana jipya alilofanya tokea alipokuwa mwakilishi jimbo la rahaleo
nashangaa znz tuna wabunge na wawakilishi lkn matokeo yake hakuna maendeleo hawa watu wanalipwa kufanya kazi gani.
hafidh nadhani elimu yake ni form 4.
 
Back
Top Bottom