Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Jina la Mbunge: John Komba
Jimbo lake: Mbinga Magharibi
Chama Chake: Chama cha Majambazi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Haelewiki anaunga mkono upande upi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Mbinga-Songea.
-Angalia maisha ya watu Mbinga yalivyo ya hovyo.
-Ananenepa sana, wananchi wake wanakonda sana.
-Mafia (Ukimpinga anakumaliza kama ilivyotokea kwa mwandishi(...) wa Mbiga mjini aliyetaka kumgonga na gari.
-Haongei lolote Bungeni, anasubiri zaidi muda wa Luch, Dinner na kuelekea Club La Azizi au pale sebuleni kwao 84 Night Club
-Anakunywa sana konyagi.
thnks guys...am taking stock now...naomba tusijumuishe tuwataje mmoja mmoja ila tuwasilishe sababu hizi kwa wapiga kura
JIna:Wabunge wote mabubu toka CCM
Jimbo: Tanzania na Maskini wote
Sababu ya Kukataa: Kutetea mafisadi na wezi wa rasilimali zetu kwa ajili kwa ajili ya Taifa letu
Jina la Mbunge: John Komba
Jimbo lake: Mbinga Magharibi
Chama Chake: Chama cha Majambazi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Haelewiki anaunga mkono upande upi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Mbinga-Songea.
-Angalia maisha ya watu Mbinga yalivyo ya hovyo.
-Ananenepa sana, wananchi wake wanakonda sana.
-Mafia (Ukimpinga anakumaliza kama ilivyotokea kwa mwandishi(...) wa Mbiga mjini aliyetaka kumgonga na gari.
-Haongei lolote Bungeni, anasubiri zaidi muda wa Luch, Dinner na kuelekea Club La Azizi au pale sebuleni kwao 84 Night Club
-Anakunywa sana konyagi.
Hahahahah na wale waliosema kuwa Kazi ya urais sio kubeba Zege? unanifurahisha sana mzee wanguHa ha haaa mkubwa umeniacha hoi...nasikia hata gari kuendesha hawezi maana tumbo linablock steering wheel isizunguke....waist size 80
kuna situation zingine huwezi kuzitenga
JIna:Wabunge wote wa viti maalum
Jimbo: halijulikani
Sababu ya Kukataa: hakuna watu maalum tanzania
this time MAKWETA anapaswa kuniachia jimbo
Jina la mbunge: Felex Mrema.
Jimbo:Arusha mjini.
Muda aliokaa bungeni:Miaka 19.
Sababu za kukataa kurudi kwake:
Hana mchango wowote wa maendeleo jimboni.
Alishindwa kukemea uongozi mbovu General Tyre,ata alipopelekewa data za ubadhirifu.
Anajishughulisha sana na biashara yake ya maua.
Muda mwingi anakwenda marekani aliko mke wake wa pili na kuliacha jimbo mikononi mwa msaidizi wake.
Jina la Mbunge: Castor Ligallama
Jimbo lake: Kilombero
Chama Chake: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(Kipindi kimoja)
Sababu za kukataa kurudi kwake: 1. Ameshindwa kutuletea Maendeleo wananchi wa Kilombero.2. Bungeni pia ni mkimya sana.3. hauziki 4.Tunataka Mbunge wa Upinzani
this time MAKWETA anapaswa kuniachia jimbo