William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kama ni kelele za mlango mbona unashindwa kuthibitisha hayo mafanikio yake?
alibadilishwa jina na wakina "el jadawi" mwaka 95 na kujazwa mapesa ya kugombea kiti cha uraisi CCM hatujui angerudishaje pesa zile.....JKN akamshikia bango kichizi......shem ufisadi jamaa kauanza zamani....I am missing something here...who is Jumanne by the way.....help!
Hii ndio itafanya achaguliwe tena?
Hizi habari za kuonyesha kuwa mzee ni kigogo haina tija hapa JF, badala yake eleza mzee kafanyia nini wananchi wa Mtera kwa kipindi chote alichokuwa mbunge?
Pesa za kodi ya mazao na mifugo tunazokatwa sisi wananchi yeye ndio anakatia ticket ya ndege kwenda US, UK?
Kama kila siku yeye safari lini anawatumikia wananchi wake?
Kama kweli ana uchungu na wananchi wa Mtera, inakuwaje aishi Sea view halafu awawakilishe? Shuruba wanazopata wananchi wa Mtera hataki kuzisikia, yeye anajirusha Jijini Dar es Salaam.
Hizo Tshs milioni saba anazolipwa kwa mwezi kama mbunge, wananchi wa Mtera wanafaidika nazo vipi kama kweli yeye ni mwakilishi wa Wanamtera? Tumechoka, ni muda wa yeye kula pension yake.
- Kelele za mlango ndani watu wamelala, endelea nazo najua nimekubana sana mbavu kule kwenye topics zingine, utakufa na kijiba cha rohoni mkuu utabadili majina mpaka uchoke mimi wembe ni ule ule haujabadilika.
Later!
FMEs!
alibadilishwa jina na wakina "el jadawi" mwaka 95 na kujazwa mapesa ya kugombea kiti cha uraisi CCM hatujui angerudishaje pesa zile.....JKN akamshikia bango kichizi......shem ufisadi jamaa kauanza zamani....
alibadilishwa jina na wakina "el jadawi" mwaka 95 na kujazwa mapesa ya kugombea kiti cha uraisi CCM hatujui angerudishaje pesa zile.....JKN akamshikia bango kichizi......shem ufisadi jamaa kauanza zamani....
- Mkuu Uwiano napumzika sasa maana hakuna la maana hapa ni kujaza tu pages bila hoja muhimu kwa taifa, naomba niwachie muendele kuwmaga sumu zenu.
Respect.
FMEs!
Masanilo;450598[COLOR="Red" said:]Mkuu wa Kinyerezi...unakumbu kumbu sana...hili watu wa Mtera wanalijua? Itabidi tufungue thread.[/COLOR]...mzee unajua ulivyopotea nilikufungulia thread eti ulipigwa na mabomu ya Mbagala ukifatilia K mtaani...
So mafanikio ya Mtera hakuna jimbo lolote Tz is that what you are saying? Na nani kabeza maendeleo ya Mtera. Sema wewe umeishiwa na hoja za kumtetea so kapumzike bwana utafute hoja zingine. Have a nice day. Thanks for your opinions.
ndio maana nasema wana mtera sio wajinga tena......mzee J4 hata alete mamluki toka NYC haambulii kitu.....Mkuu wa Kinyerezi...unakumbu kumbu sana...hili watu wa Mtera wanalijua? Itabidi tufungue thread....mzee unajua ulivyopotea nilikufungulia thread eti ulipigwa na mabomu ya Mbagala ukifatilia K mtaani...
Baada ya mapumziko, mafanikio ya dingi yanasubiriwa hapa.
Kama hakuna, mwambie apumzike kugombea ubunge. Asije zaragazwa kwenye majukwaa na vikao vya chama, aadhirike na uzee huo. Malecela kwishne!!!
alibadilishwa jina na wakina "el jadawi" mwaka 95 na kujazwa mapesa ya kugombea kiti cha uraisi CCM hatujui angerudishaje pesa zile.....JKN akamshikia bango kichizi......shem ufisadi jamaa kauanza zamani....
Unaweza kutuambia kwanini alibadili jina?- You got it right, alibadili jina na saa anaitwa jumanne ndio niaita kelele za mlango maan haziwezi kumsaidia mwananchi wa Tanzania hata kidogo ila huwairidhisha wanamchukia, huku mzee akiendelea na shughuli zake, yoyo mzee kama hakusoma sio kosa la wazee wengine bwa! ha! ha!
Respect.
FMEs!
Ali badilisha jina kisa pesa? I never knew that. Dah huku kutaka madaraka ya maisha kuta fanya wengine wabadilishe hata majina yao ya ukoo.
- Dua la kuku, poleni wote najua nimewabana sana mbavu kwenye topic za Rostam, sasa mnajaribu kujiliwaza poleni sana!
Wazee wa meli FMEs!
Unaweza kutuambia kwanini alibadili jina?
Unakiamini anachokisema Yo Yo?
Wewe ndiyo umebanwa mbavu mpaka umeamua kutaja "mafanikio" yako kwenye thread zingine. Hapa RA ana husika vipi? Hii si sawa na kukubali kushindwa na kuji furahisha kuwa "uliwaweza" kwenye thread zingine.
1995 ulikuwa bado dogo.......willy kakubali kuwa alibadili....muulize sababuUnakiamini anachokisema Yo Yo?
Hata his number one fan kakubali alibadilisha jina. Anyways maybe its not true. majina siyo muhimu sana. He can cal himself whatever he wants iwe John, Jumane au lingiine.