Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Ebwana naomba mtoto wake Mzee Malekela amwambie kwamba Mzee umechoka akakaye na mjukuu wake analiya.Au anaogopa atamtisha mjukuu?.Kama anaitwa tingatinga basi mwambie majembe yake yamekwisha anatakiwa mapumziko .Akipenda amwambie na Ngombale Mwiru waende pamoja .Hatumtaki Mtera tena na akianguka kwenye jukwaa akafunjika mguu basi hataungwa bali tutakata mguu kwani kachoka itabidi ccm iwakatie insurance hawa wazee.
 
The thread is plain fallacious..Hata hivyo ina reveal tatizo letu lilipo: upeo na fikra duni..lol
 
Mkuu,
Kwame Nkurumah.
Sio kila anayekwenda bungeni na kupiga kelele za ufisadi basi huyu ni Mbunge Bora.Hapo ndipo wana JF mnapochemsha.
Wabunge wengi wameshindwa kutimiza ahadi zao kwenye majimbo yao na huku wakiomba huruma ya magezeti kwa kutumia neno Ufisadi.

Mbunge mwingine atakaye ondoka

Harison Mwakyembe-Kyela.
 
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.

Kwani mshahara wake kama mbunge ni kiasi gani. Jaribu kuchukua mshahara wake na marupu rupu pamoja na kiinua mgongo chake, then tuone kama utaweza kutatua taizo moja tu la kijamii ulilolioredhesha hapo juu.

Lakini kinyume cha hapo, ukichukua bilioni 40 za KAGODA na ukaziwekeza kutatua matatizo ya kijamii kwenye jimbo la mama Kilango, basi matatizo hayo yatakuwa historia. Ndio maana nadhani, mama Kilango amewekeza nguvu nyingi kupambana na ufisadi, akijua kuwa pesa zinazopotea huko ni nyingi na zinaweza kutatua matazo yote ya kijamii, kuliko akiba yake ambayo pengine haiwezi kulisha familia yake mwenyewe kwa mwaka mzima.
 

Unahitaji maombi kijana.
 


Basil Pesambili Mramba-Rombo.HUYU NITAKULA NAE SAHANI MOJA! Apende asipende atatoka tu.
 
Edward Lowassa na Chenge bado wana pesa nyingi za kuhonga wapiga kura: sii rahisi kuangauka!!

Tutamwomba Mungu na nina hakika atajibu hayo maombi lazima wang'oke hata kama wana pesa,hizo pesa zao hazitafua dafu mbele za Mungu.
 
Ok, naendelea kutoa maoni, msiotaka msage vyupa mnywe.

Fallacy: Kuna watu wanadai eti jimbo lao limepiga hatua kwa sababu ya mbunge wao.lol

Hamna mbunge ambaye individually anaweza kuleta maendeleo jimboni mwake ya aina yeyote. Jukumu la kuleta maendeleo ni serikali kwa kuweka miundombinu na mifumo madhubuti, na wananchi kwa upande mwingine kushirikiana na serikali. Hicho tu. Duniani kote ndivyo ilivyo.

Kutokuelewa hii fallacy, matokeo yake ndio kama mchangiaji mmoja hapo juu eti anasema mbunge flani ang'olewe kwa sababu hajatimiza ahadi ..lol. Yes you were a fool in the first place kudanganywa na mtu powerless kuwa atafanya A,B,C wakati unajua kabisa hana capacity.
 



Nkrumah!
You are not serious! Wabunge wote wa CCM waligawiwa pesa za EPA na ziliwasaidia kwenye kampeni chafu ya mwaka 2005. Aliyekuwa hajui alipewa na chama Tshs. 10m/= KUNA watu kama akina William Ngeleja walipewa above 50m/= na aliyezigawa ni Rostam Aziz1 Cha ajabu hiyo list yako uchwara kama hujatumwa hajmweka RA then this is absurd na hutufai hapa jamii unless hujui unachotaka. Hao wabunge wanaokomalia EPA na ufisadi from CCM wote ni matunda ya UFISADI wanalia baada ya kugundua ya kwamba RA na wanamtandao waliwazidi kete wakachukua pesa nyingi! Therefore wote ni WEZI na manahali wanapostahili ni Jela wote mpaka watulipe fidia labda tuwaue liwe fundisho period!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…