BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Mkuu jimbo la Mtera linaongoza kwa taifa zima kwa kuwa na zahanati na shule, kwa kila kata yaani kata zote 51, na ni majuzi tu bara bara ya kutoka Dodoma kwenda Muvmi imekarabatiwa vizuri sana, sasa safari ya masaa 8, imefupishwa na kuwa masaa manne tu!
Ahsante.
William.
Kwa matinki hii ndiyo maana badhi ya mikoa yetu kama vile Kigoma, Mtwara, Lindi na Tanga bado iko nyuma sana kimaendeleo maana Wabunge wake 'hawana sauti' kubwa ndani ya serikali ili kuharakisha maendeleo katika mikoa hiyo. Kuna haja ya kubadili katiba ili Wabunge kama Rais wakae bungeni kwa awamu mbili tu.