Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti.
Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu.
Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa:
Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa mujibu wa katiba.
Bila ya shaka siasa za kistaarabu, haki, amani na utulivu vitatamalaki. Walioikimbia nchi watarejea. Zama za haki ya kweli zitarejea. Tujenge nchi yetu kwa pamoja.
Ikumbukwe Chadema siku zote imekuwa ikiomba kuheshimiwa kwa katiba.
Chadema haijawahi kutaka kukiukwa kwa katiba bali imekuwa ikipambana na wote wenye kuikiuka bila kujali wako upande upi.
Kwamba Mama Samia amekuwa wazi kuwa haki na katiba vizingatiwe na kuheshimiwa kwa vitendo? Chadema watake nini tena kwa Mungu?
Angalizo: kwenu ndugu zetu msiotutakia mema:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Rasmi sasa mkatafute kazi nyingine.
"Kwa vile watanzania hawataki mifarakano, mtakuwa wageni wa nani nyie?"