Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti.
Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu.
Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa:
Your browser is not able to play this audio.
Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa mujibu wa katiba.
Bila ya shaka siasa za kistaarabu, haki, amani na utulivu vitatamalaki. Walioikimbia nchi watarejea. Zama za haki ya kweli zitarejea. Tujenge nchi yetu kwa pamoja.
Ikumbukwe Chadema siku zote imekuwa ikiomba kuheshimiwa kwa katiba.
Chadema haijawahi kutaka kukiukwa kwa katiba bali imekuwa ikipambana na wote wenye kuikiuka bila kujali wako upande upi.
Kwamba Mama Samia amekuwa wazi kuwa haki na katiba vizingatiwe na kuheshimiwa kwa vitendo? Chadema watake nini tena kwa Mungu?

hiyo tume isiache kuchunguze mienendo ya Ramadhani Kingai na inspector Mahita, namna walivyoingia polisi, mienendo yao na ikiwezekana kesi ambazo wao walisababisha zikapelekwa mahakamani na hata watuhumiwa kutiwa hatiani.
Hatutashangaa ikiwa kesi zote walizosimamia hawa watu zilikuwa za kubumba tu, na watu wamesota magerezani kwa kuonewa.