Ungekuwa unajari, ungetoa hata elimu ya jinsi ya kujikinga au kifanyike nini, sio uharo mtupu ulioandika hapa! Wakala wa mabeberu wewe.We ndio hamnazo, ndio nashadadia, we kama hujali afya yako na wenzako ni wewe.
Nadhani una tatizo mahali fulani akilini mwako. Unatutuuma kwenda ulizia habari za mareehemu ati nini kilimuua. Ili iweje?? Tena unasema Dr. John ana uwezo wa kupata matibabu ya hali ya juu. Huyo Mbwete uliambiwa alikuwa mnyonge? Huyo jdg uliambiwa alikosa pesa? Nitamwamini rais wangu 100% kuwa Korona kaondoka kama alivyokuja. Tuendelee na mambo yetu kama kawa. Nenda kaji lock down mwenyewe lakini sisi tutaendelea na yetuKaulize mtu wa karibu wa Prof Mbwette watakueleza amefariki kwa nini
Yeye ni muhimu kwa Tanzania kuliko watu kama wewe milioni 1 bora watz wapuuzi kama wewe milioni moja mfe kuliko raisi magufuliSafi, ila kumbuka Mzee wetu likimpata ana access na the best health services, wewe? Sijui
Unajua asili ya jina la Asha ni wapi?Bora mimi, we ukaona utumie na jina la Kichina kabisa.
MKUU mnyonge mnyongeni ila haki yake mpe bila kupepesa macho , binafsi nazunguka sana but mpaka sasa corona wenda imebaki kwa asilimia 15 tu na hapa namanisha kweli kabisa maana sijui unafiki,Leo baada ya kuapisha viongozi mbalimbali Ikulu ya Chamwino Dodoma, Dr. Magufuli alitamka kuwa Corona imeshapotea na kuongeza kuwa "tuko salama". Kuna ukweli gani juu ya madai haya?
Swali langu ni je tunajuaje tuko salama wakati hatujui hali halisi na serikali haijatoa takwimu rasmi za ugonjwa huu toka tarehe 29/04/2020? Ukweli ni kwamba hamna anaejua hali ya Corona nchini, ikiwemo serikali yenyewe kwasababu wameacha kufanya testing toka mwezi wa tano.
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia kuwa baada ya wagonjwa wenye dalili kutiririka mahospitalini kutaka kupimwa, serikali ilikataza madaktari kupima na kupokea wagonjwa wa corona (Madaktari wa Hospitali za Temeke na Amana wanaelewa hili vizuri). Na waliambiwa kuwa kama kuna wagonjwa watafariki kwa matatizo ya kupumua wasiandike hivo kwenye vyeti.
Mimi ninaamini kuwa Corona imepungua sana, ni kwa sababu ya watu kupata immunity na pia kutumia tiba asili ila ninaamini pia huu ugonjwa bado upo japo si sana kama ilivyokuwa awali.
Katika wiki mbili zilizopita Mwalimu wangu Professor Mbwete alifariki kwa matatizo ya kupumua na aliugua ghafla. Wiki iliyopita, Jaji Bongole naye alifariki kwa matatizo ya kupumua. Huyu Jaji, vyanzo ndani ya familia vinasema alikua na dalili za corona kwa takribani wiki na alitambua hilo, sema alikua muumini sana wa kujifukuzia, na aliwaambia familia yake wafanye hivo pia.
Kama nilivosema mwanzoni ni vigumu kujua hali ya Corona nchini ikoje kwa sababu hamna takwimu na serikali yenyewe haijui pia maana hawafanyi testing kabisa. Balozi na mashirika ya kimataifa hapa nchini yote bado yanafanyia kazi nyumbani kwa kushauriwa na WHO kuwa hali haitabiriki. Serikali haitoi ushirikiano wowote ule kwa mashirika haya na imeamua kufocus kwenye campaign
Nawaombeni tuwe makini na tuendelee kuchukua tahadhari. Tuwe makini na kauli za wanasiasa, Corona bado ipo, jilinde wewe jirani yako na familia yako
Usijidanganye mkuu,corona ipo. Wapi watu wa karibu kabisa wanaumwa corona. Wamepima na sasa wanaendelea kutumia dawa bila kusahau kusali. La msingi tumuombe Mungu atuepushe nalo jumla. Wanasiasa sio wa kuamini 100%. Take care yourself.Tanzania hamna Corona. Labda mniambie Tanzania kuna umasikini ndio nitaelewa.
Jamaa kashajua watanzania hawana akili lolote akiongea wanashangilia.Leo baada ya kuapisha viongozi mbalimbali Ikulu ya Chamwino Dodoma, Dr. Magufuli alitamka kuwa Corona imeshapotea na kuongeza kuwa "tuko salama". Kuna ukweli gani juu ya madai haya?
Swali langu ni je tunajuaje tuko salama wakati hatujui hali halisi na serikali haijatoa takwimu rasmi za ugonjwa huu toka tarehe 29/04/2020? Ukweli ni kwamba hamna anaejua hali ya Corona nchini, ikiwemo serikali yenyewe kwasababu wameacha kufanya testing toka mwezi wa tano.
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia kuwa baada ya wagonjwa wenye dalili kutiririka mahospitalini kutaka kupimwa, serikali ilikataza madaktari kupima na kupokea wagonjwa wa corona (Madaktari wa Hospitali za Temeke na Amana wanaelewa hili vizuri). Na waliambiwa kuwa kama kuna wagonjwa watafariki kwa matatizo ya kupumua wasiandike hivo kwenye vyeti.
Mimi ninaamini kuwa Corona imepungua sana, ni kwa sababu ya watu kupata immunity na pia kutumia tiba asili ila ninaamini pia huu ugonjwa bado upo japo si sana kama ilivyokuwa awali.
Katika wiki mbili zilizopita Mwalimu wangu Professor Mbwete alifariki kwa matatizo ya kupumua na aliugua ghafla. Wiki iliyopita, Jaji Bongole naye alifariki kwa matatizo ya kupumua. Huyu Jaji, vyanzo ndani ya familia vinasema alikua na dalili za corona kwa takribani wiki na alitambua hilo, sema alikua muumini sana wa kujifukuzia, na aliwaambia familia yake wafanye hivo pia.
Kama nilivosema mwanzoni ni vigumu kujua hali ya Corona nchini ikoje kwa sababu hamna takwimu na serikali yenyewe haijui pia maana hawafanyi testing kabisa. Balozi na mashirika ya kimataifa hapa nchini yote bado yanafanyia kazi nyumbani kwa kushauriwa na WHO kuwa hali haitabiriki. Serikali haitoi ushirikiano wowote ule kwa mashirika haya na imeamua kufocus kwenye campaign
Nawaombeni tuwe makini na tuendelee kuchukua tahadhari. Tuwe makini na kauli za wanasiasa, Corona bado ipo, jilinde wewe jirani yako na familia yako
Hao wanaokubeza hawajielewi. Corona bado ipo na inabeba watu...ikibeba ndugu yako ndio utajua kama ipo au haipoMliokuwa mnanibeza kwenye huu uzi sasa mmepata jawabu kuwa CORONA bado ipo. Tuendelee kuchukua tahadhari
Mmmh hata hali ikiwa mbaya, Jiwe hawezi sema! Ataacha watu wateketee kutunza tu Image yake !Mliokuwa mnanibeza kwenye huu uzi sasa mmepata jawabu kuwa CORONA bado ipo. Tuendelee kuchukua tahadhari
Wanapima COVID19 pale Mabibo kwa malipo ya Tshs. 100,000//=, records wanaweka na wanatoa certificate kwa walio test negative. I can confirm this 101%. Atleast hii inafanyika kwa drivers wa malori (prior booking) na wasafiri wengine japo sijajua kama wanapima yeyote anayejipeleka pale kama hasafiri.Ukweli ni kwamba hamna anaejua hali ya Corona nchini, ikiwemo serikali yenyewe kwasababu wameacha kufanya testing toka mwezi wa tano.