Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ngoma ni nzito yaani nje ntiti ndani ntitiMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Du....sikiliza mzee Wassira, hao wazee muda wowote wataitisha press na walaani kinachoendelea. Sasa basi, naomba uitishe kikao nao cha zuga ili tuwapumbaze na wasifanye kile tunachokitarajia kutoka kwao.
Alisikika mwanamke mmoja aliye laaniwa!
Wassira ni mchumia tumbo, hapo anawaza tumbo lake tu na ameweka pembeni maslahi ya ummaMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Mzee wangu wasira , siku izi amekua tozi sana ,hapitanishi vifungo vya koti na shati kwa sasaMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Samia afikishwe ICC tu.Ngoma ni nzito yaani nje ntiti ndani ntiti
Hivi inawezekana kweli askari amlawiti mwandishi toka nchi jirani Kisha amshurutishe kumshikuru Samia?Ngoma ni nzito yaani nje ntiti ndani ntiti
Wassira ni mchumia tumbo, hapo anawaza tumbo lake tu na ameweka pembeni maslahi ya umma
Kwa umri wake alitakiwa awe mstari wa mbele na awe na busraa na hekima za kutosha kukemea uhuni unaoendelea
Labda wamenisikilizaMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.