PreGE2025 Wasira akutana na Jaji Waryoba na Mzee Joseph Butiku, wateta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Samia afikishwe ICC tu.

Hakuna namna.
Hahaha nyie mnataka kutuletea balaa jingine, hizi kesi za kawaida tunashindwa kila siku huku juu, sasa akishitakiwa wakili atakuwa nani?

Itabidi tutafuate wakili anayejua ngeli ili kumnusuru mamaA, vinginevyo tutapoteza mgombea na tunaweza kulazimika kuahirisha uchaguzi mpaka arudi.

Au tumlipie faini ya makosa yake aachiwe, mtatuua na njaa wananchi.
 
Mliambiwa mapema kabisa na Bishop Mwingira..kwamba nchi imeruhusu lucifer kukalia kiti ikulu..nchi iko hapo, jibu ni ICC tu..miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru nchi inaachiwa tiss iliojaa wahuni waamue kila kitu! Huwezi ukawa na nchi intelligence unit inaingilia kila mahali, hawaheshimu sheria, hawana adabu, walevi, malaya, wezi kila baya ni lao then utarajie utulivu..wanajiapiza kuwa na uwezo wa kuzuia mja mzito asizae wakati muda umefika..huyu wassira sehemu inayomstahili ni gerezani, amehusika sana kuleta hali hii ya utekaji na mauaji..kauli zake zinatafsiri hali hii!
 
Hahaha nyie mnataka kutuletea balaa jingine, hizi kesi za kawaida tunashindwa kila siku huku juu, sasa akishitakiwa wakili atakuwa nani?

Itabidi tutafuate wakili anayejua ngeli ili kumnusuru mamaA, vinginevyo tutapoteza mgombea na tunaweza kulazimika kuahirisha uchaguzi mpaka arudi.

Au tumlipie faini ya makosa yake aachiwe, mtatuua na njaa wananchi.
Lucas Mshamba atamaliza kila kitu; wasiwasi wako ni wa nini?
 
Hahaha kule hawaongei Kinyakyusa, usitake kutupotezea mgombea pekee.

Kesi za mikataba tu huwa tunaenda kujaza viti, maana matokeo yakjija huwa tunawalipa fidia, ila uzuri wetu huwa tunalipa CASH kukwepa liba ya deni.
 
Wassira ni mchumia tumbo, hapo anawaza tumbo lake tu na ameweka pembeni maslahi ya umma

Kwa umri wake alitakiwa awe mstari wa mbele na awe na busraa na hekima za kutosha kukemea uhuni unaoendelea
Halafu ale nini?
 
Hivi huyu Mze Wassira hawezi kamatwa na kuamrishwa apige push ups 1000 maana ni msaliti, anapinga ushauri wa Warioba na leo hii kaenda kukutana naye kwa kujipendekeza.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Hayo mazee Butiku na Warioba yameenda kumlilia kibaraka wao Lissu
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Ukanda wa Mara huo!
 
Ilikuwa nafasi njema ya kumwambia anachokifanya samia ni dhambi kubwa! sijui wameongea nini?
 
Mmekiona kama ninavyokiona mm kwa mzee Wasira?. Mzee hana nuru na huenda siku si nyingi tukakutana na BREAKING NEWS.
Ukweli mchungu huu.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Wazee walionyooka wanaamini bila mabadiliko hakuna uchaguzi
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
wote hao ni wajumbe wa kigoda cha Mwalimu na taasisi ya Mwalimu Nyerere. Bilashaka watakua kwenye maandalizi ya kongamano la kigoda cha Mwalimu lakini pia kumbukuzi ya Maisha ya hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere October 2025🐒
 
....sikiliza mzee Wassira, hao wazee muda wowote wataitisha press na walaani kinachoendelea. Sasa basi, naomba uitishe kikao nao cha zuga ili tuwapumbaze na wasifanye kile tunachokitarajia kutoka kwao.

Alisikika mwanamke mmoja aliye laaniwa!
HAYO maneno yako yanatokea kwenye kinywa chenye meno au kule mpalangeni msambweni🤣. Nyambaff kabisa
 
Wassira ni mchumia tumbo, hapo anawaza tumbo lake tu na ameweka pembeni maslahi ya umma

Kwa umri wake alitakiwa awe mstari wa mbele na awe na busraa na hekima za kutosha kukemea uhuni unaoendelea
wakati mwingine ni mfumo dhalimu unamlazimisha Wassira a-act bila hata kupenda. Inawezekana akili zimemrudi. Taifa likiangamia hawa wazee watakuwa na la kujibu.
 
Tujikumbushe Sinde. Ni tall kiasi kwamba alipokuja Mandela KUTOKEA gerezani mwaka ule ilibidi akae na Makamo wa Rais Sinde kwenye podium ili walingalimgane, Mwinyi mtupu. Lakini baadaye Sinde akaja kugukuzwa na fagio la chuma kwa incompetency na kutowajibika akaletwa Balozi Malecela kutoka London. Butiku sikujua alikuwa anafanya kazi gani alikuwa kama Dalali hata Mtei kasema hivyo kwenye yotabu chake. Leo eti wanajitia watetezi wa CHADEMA, wanadhani Wassira atawasililiza kwa vile wote Washashi. Time ya Warioba alupendekeza Serkali 3 idiots
 
Back
Top Bottom