Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Hakika mkuuLabda wamenisikiliza
PreGE2025 - Warioba, Butiku and the whole Nyerere generation old guard, you have a moral obligation to save the country from this leadership moral decay
Umeongea jambo la maana sana. Kuna tatizo na vijana wa Tanzania, na sijui ni kitu gani kiwewaharibu akili kiasi hiki. Kurudi kwa wazee ni kwa kuwa nimegundua ukombozi wa Tanzania kwa sasa hauko katika vijana. They simply dont care, politically dumb and irrelevant. Labda wako kwenye philosophy...www.jamiiforums.com
Hao wazee wawili Mungu awape Umri mrefu sanaNgoma ni nzito yaani nje ntiti ndani ntiti
Wa kushoto na wa kulia nawaelewa, nawaamini sana, Mungu awajalie miaka zaidi ya mia, ila huyo wa katikati mmmmmh,MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
TumainiEl Pascal Mayalla hawa wazee wawili hawa wa Kigonda cha mwalimu Nyerere wameshaandaa watu Strong kwa ajili ya Taifa?MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Wasirra hana Maamuzi wala ushawishi ndani ya ccm, anazidiwa kwa mbali sana na Steve NyerereMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Hao jamaa wawili wa pembeni ndo tumebaki nao wanaojua maana ya Tanzania. Na uzee wao wakipewa nchi( Warioba na Butiku) wataendesha vizuri sana. Mstaafu hasiyetaka kustaafu amebaki kuwa chawa tu.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
kah!....sikiliza mzee Wassira, hao wazee muda wowote wataitisha press na walaani kinachoendelea. Sasa basi, naomba uitishe kikao nao cha zuga ili tuwapumbaze na wasifanye kile tunachokitarajia kutoka kwao.
Alisikika mwanamke mmoja aliye laaniwa!
wapo kina mwigulu, nape, january, makonda, ndejembi, mavunde, heri jamesi, kihongosi, ally happy, chalamilaWazee wenye akili na hekima ndio wanaelekea mwisho,
Sasa hawa vijana wa kushika hizo Nafasi sasa!
Labda busara itapatikana kuhusu mwafaka wa kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu...MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Kanda maalum.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Elewa maana yake ni nini.Hivi inawezekana kweli askari amlawiti mwandishi toka nchi jirani Kisha amshurutishe kumshikuru Samia?
Ngoja nikupe matumaini juu yake.Wa kushoto na wa kulia nawaelewa, nawaamini sana, Mungu awajalie miaka zaidi ya mia, ila huyo wa katikati mmmmmh,
Mungu nisamehe.
Buibui ya kuzuga kumbe luciferElewa maana yake ni nini.
Haya mambo tunayachukulia kijuujuu bila ya kuyapa tafakuri makini.
Huyo mtu anamfanyia kazi Samia, haifanyii kazi Tanzania.