PreGE2025 Wasira akutana na Jaji Waryoba na Mzee Joseph Butiku, wateta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naiona taswira ya maisha halisi ya Watanzania wa kawaida kupitia kwa wazee hawa.
They look very humble senior citizens.
Mungu awajalie hekima na busara katika kuamua mustakabali wa nchi yetu.
 
Walikuwa wanakumbushia ujana wao au Siasa ilivyo nchini na mambo ya utekaji?
 
Kw
Naiona taswira ya maisha halisi ya Watanzania wa kawaida kupitia kwa wazee hawa.
They look very humble senior citizens.
Mungu awajalie hekima na busara katika kuamua mustakabali wa nchi yetu.
Kweli mkuu
 
Wameenda kumpiga mikwara Waryoba hao.
 
Nipe definition ya kukufuru isije kuwa unayatumia tu maneno kama chiriku usijue maana yake
Simply ni disrespect to God.

Kumdhalilisha binaadamu kwa kumfananisha na mnyama kwa sababu ya sura yake ni act of disrespect kwa aliemuumba kuwa binadamu wala sio mnyama wa porini.
 
Simply ni disrespect to God.

Kumdhalilisha binaadamu kwa kumfananisha na mnyama kwa sababu ya sura yake ni act of disrespect kwa aliemuumba kuwa binadamu wala sio mnyama wa porini.
Wasira ni chimpanzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…